Kwa nilichokiona kutoka Karatu mpaka Kilimanjaro, nakusihi Rais Samia ifungulie CHADEMA

Kwa nilichokiona kutoka Karatu mpaka Kilimanjaro, nakusihi Rais Samia ifungulie CHADEMA

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Nianze Kwa kutoa pole Kwa Wafiwa waliofiwa na ndugu Yao na kufanikisha kumpakia kwa ndege kutoka Kalatu mpaka uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro.

Nianze Kwa kuusema ukweli Mimi ni mwanasiasa nisiyekipenda na stokaa nikipende Chama Cha Mapinduzi narudia Tena sitokaa nikipende Chama Cha Mapinduzi, ingawa tangu niwe mtu mzima nafanyia kazi mailani Yao ya uwongo Kwa watanzania.

Nimefika pahala nachukia mpaka wanachama wake na hii inasababishwa na matendo Yao maovu Kwa watanzania.

Niachane na hayo, niende kwa nilichokiona Jana msibani ambapo Aikaeli Freeman Mbowe alikuwa kiongozi wa msafara wa mazishi ya bwana mmoja aliyekuwa diwani kwa miongo miwili kupitia chadema huko Karatu.

Kwanza huyu bwana alipata heshima Moja hatari sana Kwa CCM, nilishuhudia umati mkubwa sana kutoka kwa vijana walio valia magwanda Yao meusi wengi sana nilijuliza hivi KESHO akidondoka Mbowe itakuaje?

Nilishuudia umati wa wanachadema wengi sanaaaa nikajiuliza hivi CCM wanauwezo wa kufuta hili lichama kweli?

Nilishuhudia msiba ulivyoendeshwa Kwa heshima, nikaona hapana ni vyema mama ajulishwe na wenzake yakuwa hili lichama liko mioyoni mwa watu kuendelea kuwafungia ni hatari kubwa iko mbeleni. Fungulia chama la Wana mama uliponye Taifa

Marehemu kazi umeifanya heshima yal umeilinda PUMZIKA Kwa amani.
 
Siasa ni Haramu sio vizuri kijana anayetafuta pepo akajihusisha na mambo haramu Kama siasa , Ngono, nk
 
Nianze Kwa kutoa pole Kwa Wafiwa walio fiwa na ndugu Yao na kufanikisha kumpakia kwa ndege kutoka Kalatu mpaka uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro....
Mungu ibariki CHADEMA
 
Back
Top Bottom