Kwa nilichokiona kwa Bobi Wine jana, Museveni jiandae. Uganda lazima wachapane

Kwa nilichokiona kwa Bobi Wine jana, Museveni jiandae. Uganda lazima wachapane

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Jana Kuna video nimeona Gen Z wa Uganda yaani wana vibe la hasira wakimshangilia Bob Wine

Aisee hiki ni kipindi kibaya sana Kwa majizi na madiktekta duniani

Yaani vijana wanawakataa hadharani.

Fikiria vijana wako radhi wauwawe ila sio kukubali kuendeshwa na diktekta kitawaka hapo Uganda kesho
 
Inasaidia sana aisee
Vijana wataungana vituo vya kupiga kura haitosaidia kitu kama vijana wakitaka kuingia rodi wataingia tu hapa si walizima mtandao lakini vijana tukawa tunawasiliana Kwa simu mikoani
 
Hujawahi kuona nyomi na vibe la M7 wewe uwanja unakaa watu kama siafu halafu woote ni rangi Moja tuu ya njano
 
mimi labda nina akili tofauti ... huwa najiuliza KWANI MUSEVEN ANATAKA NINI KITOKEE ILI ATOKE MADARAKANI?
mpaka malaika wa kifo aje kuchukua roho yake...hapo alipo ana Alzheimer na dementia...hajielewi kabisa
 
M7 ana mbinu tofauti Yaani anaachia mpaka dkk za mwisho,
Uchaguzi ukiisha utasikia kashinda kwa 62.5%
Wala hasemi zaidi na hii mbinu anaitumia sana
 
Washazima internet; watamwaga Damu hao, sasa ukijiuliza Museven anataka Nini Tena ? Huwezi pata majibu!
Majibu ni kuwa anataka kumrithisha mwanae kama ilivyo kawaida yao wenye uroho wa madaraka na wauwaji ili walindwe
 
Hujawahi kuona nyomi na vibe la M7 wewe uwanja unakaa watu kama siafu halafu woote ni rangi Moja tuu ya njano
Hii nimewahi ona kwao uko ila ukweli ulokua uantumika ni anasomba wazee hasa kutoka vijijini kuwapeleka kwenye mikutano yake magari yanakua mengi kwa kisingizio cha kuwapa burdening na chakula ila nako Uganda wasanii watengwe maana wanasapoti
 
Back
Top Bottom