Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Haitosaidia kitu hiyo mzee vijana wataungana vituo vya kupiga kuraWashazima internet
Haitosaidia mseveni vijana washaambizana wasiondoke vituo vya kupiga kurainternet blockage
Haitosaidia kitu hiyo mzee
Vijana wataungana vituo vya kupiga kura haitosaidia kitu kama vijana wakitaka kuingia rodi wataingia tu hapa si walizima mtandao lakini vijana tukawa tunawasiliana Kwa simu mikoaniInasaidia sana aisee
Wapi we umeonaHujawahi kuona nyomi na vibe la M7 wewe uwanja unakaa watu kama siafu halafu woote ni rangi Moja tuu ya njano
mimi labda nina akili tofauti ... huwa najiuliza KWANI MUSEVEN ANATAKA NINI KITOKEE ILI ATOKE MADARAKANI?Haitosaidia mseveni vijana washaambizana wasiondoke vituo vya kupiga kura
Hao ndio wale wa kununuliwa hawastui
Mkuu, issue ni EACOP mkuu.Washazima internet; watamwaga Damu hao, sasa ukijiuliza Museven anataka Nini Tena ? Huwezi pata majibu!
madikteta hawajali wataua watu hamtoaminiHaitosaidia mseveni vijana washaambizana wasiondoke vituo vya kupiga kura
mpaka malaika wa kifo aje kuchukua roho yake...hapo alipo ana Alzheimer na dementia...hajielewi kabisamimi labda nina akili tofauti ... huwa najiuliza KWANI MUSEVEN ANATAKA NINI KITOKEE ILI ATOKE MADARAKANI?
Majibu ni kuwa anataka kumrithisha mwanae kama ilivyo kawaida yao wenye uroho wa madaraka na wauwaji ili walindweWashazima internet; watamwaga Damu hao, sasa ukijiuliza Museven anataka Nini Tena ? Huwezi pata majibu!
Hadi bomba la mafuta la Hotmail likamilike.mimi labda nina akili tofauti ... huwa najiuliza KWANI MUSEVEN ANATAKA NINI KITOKEE ILI ATOKE MADARAKANI?
Hii nimewahi ona kwao uko ila ukweli ulokua uantumika ni anasomba wazee hasa kutoka vijijini kuwapeleka kwenye mikutano yake magari yanakua mengi kwa kisingizio cha kuwapa burdening na chakula ila nako Uganda wasanii watengwe maana wanasapotiHujawahi kuona nyomi na vibe la M7 wewe uwanja unakaa watu kama siafu halafu woote ni rangi Moja tuu ya njano