Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Tulia ni mtu wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani sio MTU Wa watu? Mimi sina chama Mkuu ila msema ukweli, ukikutana Na waliosaidiwa Na Tulia trust iliyoko Uyole watasema wanamuunga Tulia, ila sio kweli.wako watu wako ccm wanatamani kugombea ila wanamwogopa Tulia, maana wakijulikana anawachoma ccm taifa ili wawekewe mizengwe.
 
Kamanda mgombea wenu Sugu amechokwa usinitukane Mimi sio kosa langu

Tukutane October
Ona huyu sijui mshika pochi wakati muhusika anahutubua?? Njaa mbaya sana yani kipindi hiki cha Corona Mbeya kila kona wanamwimba Tulia?? Heri hata ungesema wanamzungumzia!!! Shida hamna kazi nyingine za kufanya ndiyo maana lazima hata kipindi kama hiki muendelee kujipendekeza tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom