LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Mi sijui kama sugu kwao songea, ila najua Tulia kwao Rungwe, watu wengi Wa Mbeya wanajua hivi.Ukianza hivyo tutasema na sisi Kwanini sugu asipeleke msaada kwao songea?
Acha ubaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada gani? Kibetina hicho kichawi tu
Tulia akatulie Rungwe...Mbeya mkitaka maendeleo achaneni na huyo mpiga soga.
Tulia na Tulia.
Mbeya mkitaka maendeleo achaneni na huyo mpiga soga.
Tulia na Tulia.
Ni kweli kiongozi. Sugu atafute la kufanya. Wakwe wangu hawana utani kabisa.
Dada gani? Kibetina hicho kichawi tu
Naumia kwa sababu Sugu ataendelea kupeta, tunatamani tupate mbadala ila sio Tulia.
Haahaa watu wote wakati mi Niko Mbeya Na simkubali Tulia Mkuu, Na Tuko wengi
Nani sio MTU Wa watu? Mimi sina chama Mkuu ila msema ukweli, ukikutana Na waliosaidiwa Na Tulia trust iliyoko Uyole watasema wanamuunga Tulia, ila sio kweli.wako watu wako ccm wanatamani kugombea ila wanamwogopa Tulia, maana wakijulikana anawachoma ccm taifa ili wawekewe mizengwe.
We unapenda siasa za rejareja kuliko uhalisia, sisi tuliopo huku tunajua ukweli.anyway tukutane huo oktoba, mark my words kama mgombea Wa ccm Ni Tulia, ccm wasitafute mchawi.Tukutane October
Tumstaafishe sugu arudi kwenye muziki wa kufoka foka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona huyu sijui mshika pochi wakati muhusika anahutubua?? Njaa mbaya sana yani kipindi hiki cha Corona Mbeya kila kona wanamwimba Tulia?? Heri hata ungesema wanamzungumzia!!! Shida hamna kazi nyingine za kufanya ndiyo maana lazima hata kipindi kama hiki muendelee kujipendekeza tu!!
Haahaa uoga Wa nn? Labda nyie mnaokula hizo hela za Huyo Dada.Una andika kwa uoga sana
Hii ndio siasa huyo mwanamuziki wa kufoka foka amefika tamati kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaa uoga Wa nn? Labda nyie mnaokula hizo hela za Hugo Dada.
Mwiteni, kugombea Ni haki yake, mkipigwa kwenye sanduku msitafute mchawi, Huyu mama kwa hapa Mbeya iko kazi.Sisi hatuli pesa tumemwita Mbeya aje agombee
Tumemchoka yule jamaa yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwiteni, kugombea Ni haki yake, mkipigwa kwenye sanduku msitafute mchawi, Huyu mama kwa hapa Mbeya iko kazi.