Wewe october utajificha tu halafu uje na Id nyingine hahahaa!!
Ninyi mnaopiga wapinzani risasi na mauwaji dhidi ya Watanzania mumechokwa
Au siyo
MATAGA mmetoka kusema serikali imepongezwa na WB sasa mnakuja Mbeya.Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Kangi Lugola mumeshamfikisha mahakamaniMtafute kazi zingine za kufanya kamanda ? Siasa za ulaghai ziliisha 2015
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda wewe ndo umemuamini, hivi unatoaje pesa ukitegemea fadhira kupigiwa kura??
Hichi ki mama inaonekana kuna watu nyuma yake sio bure hizo pesa anaxitoa wapiii????
Wanaopaswa kuchunguzwa na Takukuru ndo Hawa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
MATAGA mmetoka kusema serikali imepongezwa na WB sasa mnakuja Mbeya.
Bi Tukinao ameanza kugawa bajaji, ni takrima na PCCB walipaswa kumkamata, wanyakyusa wananunuliwa kama nyanya soko la kariakoo
Takrima, mnanunuliwa kwa mkate, kama waitara alivyowafanyia huko ukonga alafu anawakimbia
Kangi Lugola mumeshamfikisha mahakamani
Sugu ajikite kuendesha hoteli yake ya Desderia, ubunge asahau, ameshindwa kusimamia mpaka soko la mwanjelwa, sugu tumemchoka
RUSHWA NA CCM NI SAWA NA CHURA NA MAJI, kangi kishafutiwa kesi, kwa NOLLE PROSEQUE zaidi ya mbili, ni joka kama Chenge, huyu jamaa anayejifanya aombewe kila siku ni mnafki wa kufa mtu, eti anapambana na rushwa wakati mwanafunzi wake ipo wazi na akina mambalaswaKangi Lugola mumeshamfikisha mahakamani
Takrima, mnanunuliwa kwa mkate, kama waitara alivyowafanyia huko ukonga alafu anawakimbia
Ya lissu na mbiwe mbona maagizo huwa yanatoka hadharani kuwa wakamatwe?Serkali inaongoza kwa kufuata sheria, haiwezi kuingilia muhimili mwingine
Atafikishwa na vyombo vinavyohusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo, sasa ni wazi Mh Tulia anagombea? Si ndiyo?
ndio maana US-AID wanawakata GOVI.
Ya lissu na mbiwe mbona maagizo huwa yanatoka hadharani kuwa wakamatwe?
kakojoe ulale