Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya

Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.

Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.

Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.

Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.

My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.

Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.

Tuipende Tanzania
MATAGA mmetoka kusema serikali imepongezwa na WB sasa mnakuja Mbeya.
Bi Tukinao ameanza kugawa bajaji, ni takrima na PCCB walipaswa kumkamata, wanyakyusa wananunuliwa kama nyanya soko la kariakoo
 
Yeye ni kiongozi wa kitaifa anarudisha fadhila nyumbani

Wana mbeya Wengi sana kila kata wanamtaka agombee ubunge
Labda wewe ndo umemuamini, hivi unatoaje pesa ukitegemea fadhira kupigiwa kura??

Hichi ki mama inaonekana kuna watu nyuma yake sio bure hizo pesa anaxitoa wapiii????

Wanaopaswa kuchunguzwa na Takukuru ndo Hawa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo, sasa ni wazi Mh Tulia anagombea? Si ndiyo?
 
Kangi Lugola mumeshamfikisha mahakamani
RUSHWA NA CCM NI SAWA NA CHURA NA MAJI, kangi kishafutiwa kesi, kwa NOLLE PROSEQUE zaidi ya mbili, ni joka kama Chenge, huyu jamaa anayejifanya aombewe kila siku ni mnafki wa kufa mtu, eti anapambana na rushwa wakati mwanafunzi wake ipo wazi na akina mambalaswa
 
Back
Top Bottom