Aendelee kuisaidia kwani lazima awe mbunge.alafu niambie mwaka gani alifanya hivyo na alifanya nini kabla ajawa spika wa bunge.
View attachment 1420676
Wenye akili zao ambao hawawazi kila siku kuua wapinzani wao!!
Mbeya mbunge wetu wa kudumu ni sugu! Huyo twiga atulie mpaka labda 2050
Sent using Jamii Forums mobile app
macho yako yatakuwa na makengeza na yanakudanganya….
Alphonce Mawazo aliuawa na siasa gani!?
Mimi kama mwana mbeya huya bibi yako sijawahi kumuona zaiidi ya muda huu kuja kujipendekeza watu wambeya tuna akili timamu.hana jipya huyo bibi unaibu spika unamshinda ataweza kuongoza jimbo huyo.kama kakupa kazi kamwambie kazi imekuwa kazi.Unataka nianze kuorodhesha alivyosaidia wewe km nani?
Wanambeya wamemuomba agombee ubunge hajajipeleka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kama mwana mbeya huya bibi yako sijawahi kumuona zaiidi ya muda huu kuja kujipendekeza watu wambeya tuna akili timamu.hana jipya huyo bibi unaibu spika unamshinda ataweza kuongoza jimbo huyo.kama kakupa kazi kamwambie kazi imekuwa kazi.
kwani kampeni zimeanza acha uzwazwa wewe
Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Sugu ajikite kuendesha hoteli yake ya Desderia, ubunge asahau, ameshindwa kusimamia mpaka soko la mwanjelwa, sugu tumemchoka
Siyo wajibu wa 'mbunge' kuziwezesha saccos kwa kugawa manoti kama alivyokuwa akigawa mapesa makanisani na misikitini yule mgombea urais ambaye ndoto yake ilikomea 2015.Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Wewe tatizo lako ni mmbeya sio Mbeya.
Alijisahau alikuwa atoe hela ya mfukoni mwake awapatie? Usijitie kwamba huelewi mchezo mchafu unaoendelea

Kampeni zimeshaanza?
Swali ni je hizo hela anazogawa atazirudishaje?.mbeya labda mchukue kwa mtutu kama mnavyofanyaga otherwise Sugu bado jimbo ni lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara baada ya matokeo kutangazwa, nadhani kuna mgombea mmojawapo kati ya hao hataamini matokeo...atazijua tabia halisi za wana Mbeya...Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya