Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
- Thread starter
- #161
Unataka nianze kuorodhesha alivyosaidia wewe km nani?
Wanambeya wamemuomba agombee ubunge hajajipeleka
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanambeya wamemuomba agombee ubunge hajajipeleka
Aendelee kuisaidia kwani lazima awe mbunge.alafu niambie mwaka gani alifanya hivyo na alifanya nini kabla ajawa spika wa bunge.
Sent using Jamii Forums mobile app