SISIS
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 10,892
- 3,112
Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili halafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani halafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo wapi, anakwambia kashaoa Hivyo hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani halafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye mwenyewe haamini. Kataa single mother kwa usalama wako