Shida wanaume wa bongo hawataki kuishi maisha halisi. Sasa vibomu vikizidi anakula nduki wakati alijifanya ana hela.
Hapana, hao single mothers ndio hawana maisha halisi!
Kwanza, wengi wanakuwa single mothers by choice! Mtoto wa miaka 24, ana watoto wawili, kila mmoja na baba'ake!
Vibinti vikiona Paula kazaa, vinasema roli modo, na vyenyewe vinategesha huko, vinakataliwa, sasa hivi ndo useme ni vi-victim?
Kabla ya kukutana na mwanaume mwingine, penginge aliye serious, alikuwa anawaleaje?
- Wangekuwa wanaendelea hivyo hivyo bila kumbebisha mtu mzigo usiomhusu
- Mtu mwenyewe anogewe, aone haja ya kumsaidia, sio kumfanya yeye ndio baba mzazi wa watoto wako wa kuwatafuta kwa starehe zako bila plan za maisha!
Hakuna mwanaume anayepindua kwa mwanamke mjanja, wote wangelea hao watoto bila lawama!
- Ni sawa na jinsi wanawake walivyowagutua wanaume kwenye KUOMBA OMBA hela hovyo, sasa imekuwa NIPE NIKUPE. La, classicsex workers soko limeongezeka, ujinga wa vitoto vya 2000 ndo umekuwa mtaji wa wanaume wengi kuwageuza mashine ya kufyatulia matofali.