Kwa nilichokiona, Wanaume kuweni makini na wanawake wenye watoto

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
10,892
Reaction score
3,112
Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili halafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani halafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo wapi, anakwambia kashaoa Hivyo hausiki na malezi ya watoto

Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani halafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi

Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye mwenyewe haamini. Kataa single mother kwa usalama wako
 
Aiaeeww no balaaaa
 
Single mothers wana shida sana kwenye hii Dunia.

Wanaowapa mimba wanawakataa halafu bado lawama zinarudi kwa single mothers tena.

Wanawake wenye watoto popote mlipo nawatakia mafanikio kwenye pilika pilika zenu na utaftaji wenu.
 
Kwanza una uhakika ana watoto au umechukua sex worker mjini anakuingiza kwenye mfumo.
 
Mkuu hawa single maza ingawa wengi ni kwa ujinga wao. Lakini wengine ni victims wa vitendo vya kikatiri walivyofanyiwa na wa naume.
So tusifanye collective judgement.
Waache hawa watoto wa 2000 hawana busara .uzuri wataoa watazaa mtoto mmoja au wawili watakufa tuone hizo familia zao zitaishije
 
Umemhukumu Bure tu!! huyo alikuwa ameshajifunza!! Alikuwa tayari kubadirika!! Hivyo ningekuwa mm , ningeishi nae tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…