Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Naandaa Uzi kusimulia madhira wanayopata wanawake , ni mazito sana. Yanatisha na yanahuzunisha. Mpaka wanakuwa single mothers wameponzwa na mapenzi ya kweli.Waache hawa watoto wa 2000 hawana busara .uzuri wataoa watazaa mtoto mmoja au wawili watakufa tuone hizo familia zao zitaishije
Shida ya Watz hatujali thamani ya Binadamu.Umemhukumu Bure tu!! huyo alikuwa ameshajifunza!! Alikuwa tayari kubadirika!! Hivyo ningekuwa mm , ningeishi nae tu.
Na pia kama huna unamwambia tu leo sina tuangalie siku nyingine.Nilidhani tatizo lingine labda bado anakitoa kwa aliye mzalisha kumbe ni kutoa buku7 tu ndugu yangu?Kwanini usifanye kama unamsaidia tu.?Labda kama ako na tabia mbovu.
naskia wanapenda bad boys, wale wanaume wahuni wakabaji na wavuta bangiNaandaa Uzi kusimulia madhira wanayopata wanawake , ni mazito sana. Yanatisha na yanahuzunisha. Mpaka wanakuwa single mothers wameponzwa na mapenzi ya kweli.
Waliwaamini watu wasio na mwelekeo
Kama tulivyomwamini Mwenyekiti
Baba yako yeye anasemaje kuhusu kuishi na kulea mke wa mtu na watoto wake maana sisi tulisha sema hamtaki kusikia?Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe yena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Kamwe usimuonee mwanamke hurumamadhira wanayopata wanawake , ni mazito sana. Yanatisha na yanahuzunisha.
Usimuonee huruma msichana ambaye sio ndugu yako..Wazee hata kama ni risky kuoa mwanamke mwenye mtoto au watoto ndio mtumie lugha mbaya hivi?
Single mother aliyefiwa na mume sio sawa na wale wadangaji..Waache hawa watoto wa 2000 hawana busara .uzuri wataoa watazaa mtoto mmoja au wawili watakufa tuone hizo familia zao zitaishije
Wakuzaliwa tumbo moja tuu.Usimuonee huruma msichana ambaye sio ndugu yako..
Wewe bado mdogo. Hujui wewe. Ngoja siku ujichangaye ndipo akili zitakapokukaa sawa..Umemhukumu Bure tu!! huyo alikuwa ameshajifunza!! Alikuwa tayari kubadirika!! Hivyo ningekuwa mm , ningeishi nae tu.
Achana na single maza,hawabebeki hao.Umemhukumu Bure tu!! huyo alikuwa ameshajifunza!! Alikuwa tayari kubadirika!! Hivyo ningekuwa mm , ningeishi nae tu.
Endelea na kufuru zako ila utashuhudia ukiwa huko motoni.Single mother aliyefiwa na mume sio sawa na wale wadangaji..
Mbona hawapigi kelele au kwenda Police??..Endelea na kufuru zako ila utashuhudia ukiwa huko motoni.
Kwani ukiishi Maisha yako bila kudhihaki udhaifu WA watu unapungukiwa nini?
Stress zako za maisha usihamishie wengine.unajua ni wanawake wangapi wanabakwa
Baba yao yupo hai awalee. Ukilea mtoto asiye na wazazi ndio unapata baraka..Simple, mwambie awalete watoto maisha yaendelea - penda boga kaka....
Tena ukiwa nao home matumizi yatakuwa sawa tu.
Afu kulea watoto wa kufikia unapata barakaa.
Hapana, hao single mothers ndio hawana maisha halisi!Shida wanaume wa bongo hawataki kuishi maisha halisi. Sasa vibomu vikizidi anakula nduki wakati alijifanya ana hela.
Mkuu, na sisi tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa nani atatupenda sasa?? Au mishangazi??..naskia wanapenda bad boys, wale wanaume wahuni wakabaji na wavuta bangi
naskia ndo kiini cha tatizo