Kwa nilichokishuhudia na bado naendelea Kukishuhudia kwa Wanaume mlio mbali na Wake zenu hakika nawapeni Pole nyingi sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hakuna Mwanamke ambaye yuko mbali nawe iwe Tanzania kwa Tanzania au Tanzania kwa nchi Jirani au Tanzania kwa Mataifa ya Ng'ambo na Mbali kabisa halafu asibanduliwe / asikanyagwe / asitinduliwe na Wanaume wa hilo Eneo aliko.

Kwakuwa mmeshawapenda Wavumilieni tu ila jueni kuwa Wanabandulieni bila Huruma na mkienda muwe Wapole.
 
kwakweli mimi kama nikiwa na mahusiano na mtu na aakahamia kikazi eneo lingine tena anakaa muda mrefu huko hapo ndio uwa mwisho pia wa mahusiano hayo hakuna distance relation kwa karne hizi..
 
Hakuna Mwanamke ambaye yuko mbali nawe iwe Tanzania kwa Tanzania au Tanzania kwa nchi Jirani au Tanzania kwa Mataifa ya Ng'ambo na Mbali kabisa halafu asibanduliwe / asikanyagwe / asitinduliwe na Wanaume wa hilo Eneo aliko.

Kwakuwa mmeshawapenda Wavumilieni tu ila jueni kuwa Wanabandulieni bila Huruma na mkienda muwe Wapole.
Mke anauma sana
 
Mimi binafsi, kayika uzoefu wangu wa miaka mingi kwenye nyanja mbalimbali, ushuhuda nilio nao ni kwamba wale walio pamoja ndiyo wanaoongoza kugongewa mara kumi zaidi ya wale walio mbali.

Kwa wale walio mbali mara nyingi katika 10 ikitokea mmoja au wawili wamegongwa au kugongewea, watu hukimbilia kusema hayo ndiyo madhara ya mapenzi ya mbali, huwa hakuna mapenzi ya mbali n.k

Lakini kwa walio karibu utasikia wanawake hawaaminiik, mara wanashawishika kwa vitu vidogo, mara bodaboda wanawagongea wake zao, mara mabinamu, mara jirani, ili mradi kelele tupu.

Je, watu wanapokataa ndoa ni kwasababu ya umbali?

Je watu wanaposema single maza siyo wa kuoa ni kwasababu ya umbali? Si unaishi naye ndani lakini anaamua kumpelekea huyo wa mbali na kukusaliti wewe wa ndani?
 
Back
Top Bottom