mapenzi ya mbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya mbali: Je, ni upendo au ni mtego wa kunitawala kiakili?

    Habari, Naomba ushauri wenu moyo unauma sana. Nipo kwenye mahusiano ya mbali (LDR) kwa miezi minane sasa. Nampenda sana huyu mwanaume, kiasi kwamba muda mwingi nautumia kusali, kufunga na kumuombea, nikiamini labda ana majeraha ya huko nyuma yanayomfanya awe hivi alivyo sasa. Kuna kitu...
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Kupagawishana, kuchezeana na kuamsha mizuka kwenye simu

    Vipi umeshawahi kupeana utamu na mwenzako kwenye simu mpaka ukafika kilele cha kibo? Huwa anakuambia nini kinakupagawisha? Mpenzi / Mwenza wako asipokuwepo: Je, unapenda kuflirt naye / kuziamsha ny€g€ kupitia simu? na lini mara ya mwisho umefanya hivyo? Mwenzenu ba mjengo kasafiri, leo...
  3. verify

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako kama yupo chuo sio wako tena ndugu

    She takes you for granted
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokishuhudia na bado naendelea Kukishuhudia kwa Wanaume mlio mbali na Wake zenu hakika nawapeni Pole nyingi sana

    Hakuna Mwanamke ambaye yuko mbali nawe iwe Tanzania kwa Tanzania au Tanzania kwa nchi Jirani au Tanzania kwa Mataifa ya Ng'ambo na Mbali kabisa halafu asibanduliwe / asikanyagwe / asitinduliwe na Wanaume wa hilo Eneo aliko. Kwakuwa mmeshawapenda Wavumilieni tu ila jueni kuwa Wanabandulieni bila...
Back
Top Bottom