GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
kwakweli mimi kama nikiwa na mahusiano na mtu na aakahamia kikazi eneo lingine tena anakaa muda mrefu huko hapo ndio uwa mwisho pia wa mahusiano hayo hakuna distance relation kwa karne hizi..Hakuna Mwanamke ambaye yuko mbali nawe iwe Tanzania kwa Tanzania au Tanzania kwa nchi Jirani au Tanzania kwa Mataifa ya Ng'ambo na Mbali kabisa halafu asibanduliwe / asikanyagwe / asitinduliwe na Wanaume wa hilo Eneo aliko.
Kwakuwa mmeshawapenda Wavumilieni tu ila jueni kuwa Wanabandulieni bila Huruma na mkienda muwe Wapole.
kwakweli mimi kama nikiwa na mahusiano na mtu na aakahamia kikazi eneo lingine tena anakaa muda mrefu huko hapo ndio uwa mwisho pia wa mahusiano hayo hakuna distance relation kwa karne hizi..
Kubanduliwa mkeo hakuna formula. Anaweza banduliwa hapo hapo kwako na houseboy ambae unsmlupa mishahara.
Wanawake upwiru unawasumbua kuliko wanaume mkuuKwani wanawake nao upwiru unawasumbua kama wanaume? Nilipokuwa mdogo niliambiwa hizo shida ni za wanaume tu
JidanganyeeeKwani wanawake nao upwiru unawasumbua kama wanaume? Nilipokuwa mdogo niliambiwa hizo shida ni za wanaume tu
Mke anauma sanaHakuna Mwanamke ambaye yuko mbali nawe iwe Tanzania kwa Tanzania au Tanzania kwa nchi Jirani au Tanzania kwa Mataifa ya Ng'ambo na Mbali kabisa halafu asibanduliwe / asikanyagwe / asitinduliwe na Wanaume wa hilo Eneo aliko.
Kwakuwa mmeshawapenda Wavumilieni tu ila jueni kuwa Wanabandulieni bila Huruma na mkienda muwe Wapole.
Mimi binafsi, kayika uzoefu wangu wa miaka mingi kwenye nyanja mbalimbali, ushuhuda nilio nao ni kwamba wale walio pamoja ndiyo wanaoongoza kugongewa mara kumi zaidi ya wale walio mbali.Hakuna Mwanamke ambaye yuko mbali nawe iwe Tanzania kwa Tanzania au Tanzania kwa nchi Jirani au Tanzania kwa Mataifa ya Ng'ambo na Mbali kabisa halafu asibanduliwe / asikanyagwe / asitinduliwe na Wanaume wa hilo Eneo aliko.
Kwakuwa mmeshawapenda Wavumilieni tu ila jueni kuwa Wanabandulieni bila Huruma na mkienda muwe Wapole.