mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Jamaa wa watu akiwa na mzigo kichwani na mkononi akiwa anavuka barabara huku bodaboda akilazimisha kupita mbele ya jamaa na kupelekea kuteleza na kuanguka
Imekuwa ni sababu ya bodaboda zaidi ya ishirini kumtembezea kichapo jamaa wa watu na asiwepo hata wa kumtetea mpaka wana usalama walipofika, kwa kweli hii ni laana na zaidi ya laana, hili suala la bodaboda kujichukulia sheria mkononi iko siku litaleta athari kubwa sana iwapo serikali haitachukua hatua sasa
Hili ni bomu kuzidi la atomiki