mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Hata 'baadhi' ya viongozi wetu pia hawapendi kuelezwa ukweli, Ukiwa mkweli sana kuna hatari ya uteuzi wako kutenguliwa.Lema yupo sahihi sema wanyonge hatupendi ukweli.
Watu watamwelewa Lema taratibu.Jamaa wa watu akiwa na mzigo kichwani na mkononi akiwa anavuka barabara huku bodaboda akilazimisha kupita mbele ya jamaa na kupelekea kuteleza na kuanguka
Imekuwa ni sababu ya bodaboda zaidi ya ishirini kumtembezea kichapo jamaa wa watu na asiwepo hata wa kumtetea mpaka wana usalama walipofika, kwa kweli hii ni laana na zaidi ya laana, hili suala la bodaboda kujichukulia sheria mkononi iko siku litaleta athari kubwa sana iwapo serikali haitachukua hatua sasa
Hili ni bomu kuzidi la atomiki
Boda boda sio laana tu Bali wale 150% ni zaidi ya laanaJamaa wa watu akiwa na mzigo kichwani na mkononi akiwa anavuka barabara huku bodaboda akilazimisha kupita mbele ya jamaa na kupelekea kuteleza na kuanguka
Imekuwa ni sababu ya bodaboda zaidi ya ishirini kumtembezea kichapo jamaa wa watu na asiwepo hata wa kumtetea mpaka wana usalama walipofika, kwa kweli hii ni laana na zaidi ya laana, hili suala la bodaboda kujichukulia sheria mkononi iko siku litaleta athari kubwa sana iwapo serikali haitachukua hatua sasa
Hili ni bomu kuzidi la atomiki
Halafu tena huku anaongea na simuUnaweza kukuta Bodaboda anaendeshea kulia kwenye barabara kubwa kabisa.
Moshi hakuna boda boda? Mbona ukweli usemwe tuUnambiwa bawacha ndio chanzo mvua kutuonyesha na joto Kali huko Moshi, chadema ni laana si utani
HakikaVibaka wengi wamejificha kwenye u bodaboda na makahaba wengi wamejificha kwenye kichaka cha saloon za kike hasa za kiume[emoji848]