Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Jamaa ahahaha unamentality ya kimasikini sana kwanini mkuu? Hata jef ni myahudi ila haamini dini yeyote, sisem Mungu hayupo ila nawashangaaga sana walokole wanaasema wana mungu ila ndio mnaongoza kwa majungu na kuwasema wengine kama vile MUNGU KAWAAGIZA MUWAAMBIE WATU THEY WILL GO TO HELL, WHY ARE YOU SO JUDGMENTAL? Kwanini walokole huwa mpo hivyo... Mungu ni wa wote mzee,
 
Mkuu kusali lazima uende kanisani? Umewah kwenda ulaya mkuu? Makanisa yao yanajaza kama huku?, na ndio zilipoanzia dini mzee nenda alafu urud ndio uje uwajudge watu, sijui club sijui mpira, yan jamaa hadi kuangalia MAYELE ANATETEMA NI DHAMBI 😂😂😂, WALOKOLE THIS IS TOO MUCH,
 
Mpaka hapa kuna mambo tuwekane sawa wakuu, hizi hoja hazijaeleweka mpaka sasa.
1-Tanzania vs Namibia.
2-Accra vs Dar.
3-Pesa ya Burundi vs Tsh. (hapa kila mtu anakuja na screenshot za Google na zote ni tofauti).
Maswala ya dini tuya ache kwanza wakuu.
 
TANZANIA VS NAMIBIA
Tanzania pako vizuri kwa % kubwa sana.

Dar es Salaam vs Accra
Dar iko vizuri kuliko Accra kwa kila nyanja.

Burundi Franc vs T Shillong

Burundi franc ina thamani kubwa kuliko Shilingi ila kwenye bank systems tu, mtaani TZ MONEY iko juu
 
Eti nini mkuu? Sketi hazijawekewa MARINDA
 
Nilijua tu hii nchi ya Rwanda inasifiwa bure..
 
Burundi ni nchi nzuri viongozi ndio wamekuwa tatizo

Hili kusema 10k Burundi unakuwa tajiri wewe ni muongo na mjinga
 
Itoe drc na ethiopia
 
Huyo ni mwehu hata burundi inawezekana hajakanyaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…