atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kwahiyo Yesu ndio aliumba huu ulimwengu[emoji848],kazi ipo[emoji3]Alikuwa mkristo maan aliandikwa toka mwanzo. Sasa unaulizaje swali hilo wakati Yesu nd alieumba hata huu ulimwengu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Yesu ndio aliumba huu ulimwengu[emoji848],kazi ipo[emoji3]Alikuwa mkristo maan aliandikwa toka mwanzo. Sasa unaulizaje swali hilo wakati Yesu nd alieumba hata huu ulimwengu.
NAMIBIA na BOTSWANA? hizo ni nchi masikini kwa Bongo, acha kufananisha TZ na vitu vya KIPUMBAVUNafikiri Bongo inakimbiza nchi nyingi za Afrika ukiacha nchi kama South Africa, Kenya, Namibia, Botswana, Nigeria kwa huu ukanda wa kusini mwa Sahara. Kuna kipindi nilienda Accra Ghana, aisee nikajiuliza hawa watu wakija bongo wanaweza kupaona ulaya.
Mmwetekwa na mila za warumi na waarabu halafu mnajiona wajanja,hao mnaowasoma kwenye biblia na Qur'an kuna aliyepo hai?,asili ya mwafrika inajulikana kama huyo jamaa alisema hapo juu,mababu zetu walikua wanaabudu milimani na kwenye misitu mikubwa na kuchinja,leo hii wazungu wamefanikiwa kwa asilimia 100 kutumianisha ibada zetu zile zilikua tunaabudu mizimuKuchinja ng'ombe mbuzi kuku kondoo milimani ndo kumjua Mungu. Hujaona wenzio juzi walimpelekea chatu maandazi na mbuzi ili awape mafanikio ndo Mungu sasa yule?
Kitu waRundi wanapenda sana ni kuvaa aiseee hapa ukipeleka mavazi (jeans kali za kike na kiume mat-shirt ya kwenda) utapiga sana hela bahati nzuri kuna wafanyabiashara wadogo ukipeleka chapu wanakulanguliaMkuu,
Kwa mtu wa kipato Cha Kati hapa Tz,Ni fursa gani anaweza kwenda kufanya Burundi na akatoboa ?
Mfano Nina mtaji wa chini ya milioni 2-5 alafu nikataka kwenda Burundi kutafuta maisha.
Rwanda ni kweli kabisa, wanajibrand tu ila kiukweli bado wako nyuma sana. Hapo kigali penyewe wanapopasifia ni ka sehemu kadogo tu hata Karikoo kubwa. Nenda toka huko vijijini pamechoka sana watu maskini wa kutupa. Tusibeze bongo, tupo vizuri sana wakuu.West Africa ni mijini tu, vijijini na miji ya nje pako hoi. Mie naona kwa East Afrika tukiangalia kwa ujumla wake vijijini na mijini. Bongo ni namba 1 kwa hali nzuri. Ni mawazo yangu hayo.
Hapo kuna nchi tajiri tatizo vita mfano sudani kusini ilitulia tz aiwezi tia mguu
Ni kweli mm nimefika hapo Bangui, hapafai hata kidogo. Niliishia tu kukimbia hata kazi sikufanya. Hiyo picha hapo chini ndo airport yao ya kimataifa.Famchezo nini?
Umefika LAGOS, OYO, KATSINA nk?Nigeria itoe hapo weka Dakar pale ongeza Mauritius, Cape Verde na Sao Tome & Principe.
Nigeria kuzuri Abuja tu.
Uchumi unazungumzwa kwa vipimo. Namibia iko juu kiuchumi kwa kipimo gani ni GDP, PPP, GDP per capita au nini.Botswana ni ya 23 kwa uchumi mkubwa Afrika na Namibia ni nchi ya 27 wakati Tanzania ipo nafasi ya 10.
We umetumia exchange rate ya serikali which overvalues the BiF kucontrol repatriation of the meagre foreign reserves ; kuna exchange rate ya Mtaani ambayo inaakisi hali halisi ya soko i.e. $1 = BiF 3,400, kuna nyakati hufika hadi 4,8001 burundi franc = 1.13 Tsh.
Mbona pesa yetu ndio haina thamani mbele ya pesa yao.
Mkumbushe Mjerumani kaondoka Namibia 1990!!! In short Jiji lao ni Windwook ( sp) sio mchezo Dar ikaoge ,TREN za umeme wao ni ujinga tuu sisi ndio tunaanza!!Uchumi unazungumzwa kwa vipimo. Namibia iko juu kiuchumi kwa kipimo gani ni GDP, PPP, GDP per capita au nini.
Wako kama milioni tatu nchi nzima, wanatuzidi GDP per capita, standard of living, mishahara na huduma bora za jamii. Tunawazidi GDP, tuna population kubwa, maji mengi, ardhi ya rutuba na hali ya hewa nzuri.
Ukitoka bongo ni vigumu kufanya biashara Namibia hawana konakona na hawataki mitaji midogo, huwezi kwepa kodi wala kuuza bidhaa feki. Namibia hakuna madawa ya Kihindi kwenye pharmacy unakutana na vitu vya Pfizer, Merck, Bayer yani kule ni rahisi kukutana na dawa ya original/patented producer ila bongo dawa karibia zote tunanunua kwa walionunua rights za kutengeneza.
Gari unaweza nunua kwa mkopo ukakatwa kwenye mshahara, nyumba unaweza chukua mortgage bongo sijawahi ona labda ipo, gari used ni kama hakuna mara nyingi wanatoa South Africa mpya na hakuna mafundi wa chini ya muembe mara nyingi ni dealers wana service na warranty zinazingatiwa.
Sina uhakika sana ila hakuna Tecno, Infinix wala Itel ila Wachina wapo ingawa sio wengi. Samsung, iPhone na brands kubwa. Simu used sio rahisi kama bongo hapa na "used from Dubai". Mitumba hamna hukuti mtu anamiliki magunia ya nguo, hakuna replicas na fakes sijui iPods za buku tano soko la Manzese.
Hakuna mamantilie na kuuza maandazi kwenye madumu ya plastiki. Hakuna maduka ya mangi, wana supermarkets zaidi ambazo bongo zimetushinda. Kupumzika mwezi December ni kawaida shughuli kibao zinafungwa na kama mahoteli yanafunga baadhi ya vyumba.
Hakuna bajaj na bodaboda, kupewa risiti ni kitu cha kawaida. Uchumi wao unategemea sana South Africa na makaburu wana ulinzi wa biashara zao, huwezi enda na Azam utaambiwa zina water content kubwa, sukari nyingi na some additives hazitakiwi. Wana figisu hivyo ni ngumu kuingilia biashara zao. Wabongo wako wanauza drugs uko, madaktari, pharmacists na wengine.
Wazungu wanafuga kisasa, wana uvuvi mkubwa baharini. Mfumo wao wa kodi TRA haiingii hata nusu, kwanza haukomoi na hauibiwi yani kurudishiwa kodi ni kawaida.
Hawana vitu vya misifa sijui kujenga jengo kubwa kupendezesha mji, wako 3 million na nchi ina ardhi kuliko Tz. Uchumi unaendeshwa na models za kizungu hawakurupukii miradi ya kunyonya damu.
Kwa hayo machache nimezungumzia maisha ya ushuani, vijijini sijui najua wanakula sana nyama na wanene kuliko sisi. Hawathamini sana wanawake kama sisi.
Kidogo niwasahau vijana wa hovyo. Kuna pisi mixer ya Wajerumani na makabila ya kule, kukuta mtu anaitwa Marina Krapf, Joachim Steinmann, Erwin Goering alafu mweusi tii ni kawaida.
Windhoek, hakuna foleni. Unatoka bongo na uzoefu wa miaka mitano kuendesha unaenda uko unafeli driving test. Barabara safi kwenda mikoani safari lisaa zima hujakutana na gari barabarani inawezekana. Kuendesha 200km/hr is possible sehemu kadhaa maana hawana kona za kijinga, barabara ni barabara achana na mrundikano wa simenti na vifusi tunaojengewa na WachinaMkumbushe Mjerumani kaondoka Namibia 1990!!! In short Jiji lao ni Windwook ( sp) sio mchezo Dar ikaoge ,TREN za umeme wao ni ujinga tuu sisi ndio tunaanza!!
Burundi siyo kuchafu, mitaa mingi ni misafi na imepangiliwa vizuri(Kibelgiji)...lakini uchumi ni mdogo sana, finyu kweli kweli, maisha ya raia wa kawaida ni miserableAsante Kwa taarifa,sijafika Burundi Wala Sina mpango wa kwenda huko.
Nilikuwa naamini Burundi ni kuchafu Sasa umenikazia maarifa .
By the way Africa Kuna nchi masikini sana ukifika tashangaa
1) central Africa
2)Togo
3) Mozambique ( hasa northern party)
4) Burkina Faso Kwa kina Aziz ki
5)Chad
6) DRC
7) Madagascar
8) Mali
9) Niger
10) Eritrea
11)congo Brazzaville
12) sudani kusini
13)Ethiopia ( usione Wana midege,ni malofa haswa)
14) Benin
15)Liberia
...........
Asee umemaliza yote, kule hamna bodaboda wanatumia taxi kwa safari za ndani ya mji na Quantum kwa safari za kutoka nje ya mjiUchumi unazungumzwa kwa vipimo. Namibia iko juu kiuchumi kwa kipimo gani ni GDP, PPP, GDP per capita au nini.
Wako kama milioni tatu nchi nzima, wanatuzidi GDP per capita, standard of living, mishahara na huduma bora za jamii. Tunawazidi GDP, tuna population kubwa, maji mengi, ardhi ya rutuba na hali ya hewa nzuri.
Ukitoka bongo ni vigumu kufanya biashara Namibia hawana konakona na hawataki mitaji midogo, huwezi kwepa kodi wala kuuza bidhaa feki. Namibia hakuna madawa ya Kihindi kwenye pharmacy unakutana na vitu vya Pfizer, Merck, Bayer yani kule ni rahisi kukutana na dawa ya original/patented producer ila bongo dawa karibia zote tunanunua kwa walionunua rights za kutengeneza.
Gari unaweza nunua kwa mkopo ukakatwa kwenye mshahara, nyumba unaweza chukua mortgage bongo sijawahi ona labda ipo, gari used ni kama hakuna mara nyingi wanatoa South Africa mpya na hakuna mafundi wa chini ya muembe mara nyingi ni dealers wana service na warranty zinazingatiwa.
Sina uhakika sana ila hakuna Tecno, Infinix wala Itel ila Wachina wapo ingawa sio wengi. Samsung, iPhone na brands kubwa. Simu used sio rahisi kama bongo hapa na "used from Dubai". Mitumba hamna hukuti mtu anamiliki magunia ya nguo, hakuna replicas na fakes sijui iPods za buku tano soko la Manzese.
Hakuna mamantilie na kuuza maandazi kwenye madumu ya plastiki. Hakuna maduka ya mangi, wana supermarkets zaidi ambazo bongo zimetushinda. Kupumzika mwezi December ni kawaida shughuli kibao zinafungwa na kama mahoteli yanafunga baadhi ya vyumba.
Hakuna bajaj na bodaboda, kupewa risiti ni kitu cha kawaida. Uchumi wao unategemea sana South Africa na makaburu wana ulinzi wa biashara zao, huwezi enda na Azam utaambiwa zina water content kubwa, sukari nyingi na some additives hazitakiwi. Wana figisu hivyo ni ngumu kuingilia biashara zao. Wabongo wako wanauza drugs uko, madaktari, pharmacists na wengine.
Wazungu wanafuga kisasa, wana uvuvi mkubwa baharini. Mfumo wao wa kodi TRA haiingii hata nusu, kwanza haukomoi na hauibiwi yani kurudishiwa kodi ni kawaida.
Hawana vitu vya misifa sijui kujenga jengo kubwa kupendezesha mji, wako 3 million na nchi ina ardhi kuliko Tz. Uchumi unaendeshwa na models za kizungu hawakurupukii miradi ya kunyonya damu.
Kwa hayo machache nimezungumzia maisha ya ushuani, vijijini sijui najua wanakula sana nyama na wanene kuliko sisi. Hawathamini sana wanawake kama sisi.
Kidogo niwasahau vijana wa hovyo. Kuna pisi mixer ya Wajerumani na makabila ya kule, kukuta mtu anaitwa Marina Krapf, Joachim Steinmann, Erwin Goering alafu mweusi tii ni kawaida.
Na atang'ang'ania madaraka!Hahahha
Afu rais wa burudi atataka awe raisi wa muungano wa nchi zilizoungana.
Cheki turubai hilo la entrance..daah[emoji3][emoji3]Ni kweli mm nimefika hapo Bangui, hapafai hata kidogo. Niliishia tu kukimbia hata kazi sikufanya. Hiyo picha hapo chini ndo airport yao ya kimataifa.
Mombasa wana interchanges kadhaa, vivuko vikubwa pale Likoni. Mji wa kihistoria kiasi fulani, tabia kiasi kama za Tanga. Kuna Wasomali, Wahindi na Waarabu, mida ya jioni kuna kahawa/chai, kachori na vipochopocho hasa kwa wale wafanyakazi mjini mabachela. Sijui kama bodaboda wao wanakula half cake na energy drinks kama wetu.Wapo mbele kwa mambo mengi tu kwa Uchumi wametuzidi..Miundombinu wametuacha mbali sana tunaifananisha nairobi na Dsm ila Nairobi iko mbali mnoo...Kisumu na Mwanza kisumu imetuacha mbali sanaa..Arusha na Eldoret haziwezi kufanana...Mombasa wametuacha
Gharama za usafiri kubwa kidogo. Kuwa kule ukatumia 50,000 TZS kwa siku haikuumi ila ukiwa bongo ukatumia hiyohiyo unaona matumizi mabayaAsee umemaliza yote, kule hamna bodaboda wanatumia taxi kwa safari za ndani ya mji na Quantum kwa safari za kutoka nje ya mji
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa huijui Benin vizuriAsante Kwa taarifa,sijafika Burundi Wala Sina mpango wa kwenda huko.