Kwa niliyoyaona michango kwa CCM, wazalendo uchwara wenzangu zingatieni hili

Kwa niliyoyaona michango kwa CCM, wazalendo uchwara wenzangu zingatieni hili

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,889
Reaction score
2,294
Hizi ni pesa, na mjini hakuna kitu cha bure. Wale waliotoa pesa wanajua zitawarudia vipi

Ukitendewa ubaya na tajiri wa mjini—iwe ni kukanyagwa, kudhulumiwa mali zako, au kupigwa bila sababu maskini ni heri ukimbie tu.

La sivyo, unaweza kupigwa risasi bure na hakuna kesi itakayofunguliwa

Hebu fikiria, kwa mfano, GSM anawezaje kupelekwa jela kwa sababu tu wewe umetulia kimya?
 
Screenshot_20250807-161431.jpg
 
Back
Top Bottom