Kwa niliyoyashuhudia Gongolamboto leo hakika nitawashangaa sana wapiga kura wa Tarime kama watamchagua Mwita Waitara

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli Mwita Waitara hafai kabisa kuwa mwakilishi wa wananchi popote pale Tanzania na duniani kwa ujumla.

Mwita Waitara ambaye ni Naibu waziri tena Ofisi ya Rais amewatelekeza wapiga kura wake na sasa wanakufa hovyo kwa mafuriko baada ya madaraja karibia yote kubomoka jimboni kwake Ukonga.

Leo nimepita Kilunguni A hali ni mbaya sana na inadaiwa jana maji ya mafuriko yameua wapiga kura wa Mwita Waitara watatu.

Niishie hapo sijui Chadema walimtoa wapi huyu huyu jamaa.......or sorry CCM.

Maendeleo hayana vyama!
 
Yaani unaamini kazi ya mbunge ni kujenga madaraja au kuzuia yasibomoke? Sijui aliyewaingizia Watanzania hii dhana ni nani, mbunge ni mwakilishi tu wa wananchi, ni mpiga kelele tu. BTW, vyombo vya habari vimeshatoa taarifa, wahusika (sio mbunge) watawajibika.

Vv

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu jamaa ni naibu waziri na hayupo bungeni kushirikiana na waziri wake wa TAMISEMI kwenye bajeti ya wizara. Hili jamaa sijui kama zinamtosha kwakweli!
 
Mkuu huyu jamaa katoka Chadema na kupewa unaibu waziri huko ccm ,wewe hapo unaelewa nini? Mimi ninachoelewa hapo ni kuwa waitara ni bora zaidi kuliko rubbish nyingine zilizoko ccm na zilizounga juhudi
 

Tahira kweli, eti chadema walimtoa wapi!
Kwani si alitoka na alikulia ccm huko huko au wewe ni mtoto wa juzi uliyehitimu shule za kata mwaka jana, ukiwa umefundishwa na wale vodafasta..!?



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tahira kweli, eti chadema walimtoa wapi!
Kwani si alitoka na alikulia ccm huko huko au wewe ni mtoto wa juzi uliyehitimu shule za kata mwaka jana, ukiwa umefundishwa na wale vodafasta..!?



Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaaaa.........una hasira kama simba jike jotoni!
 
Maeneo mengi ya nchi bado miundombinu mibovu sana.
Labda utushangae wanachi wa majimbo mengi mno kuendelea kuchagua wabunge wale wale.

Kuwa mbunge/mwanasiasa lazima uwe mshirikina. Huwa nashangaa mpaka mtu anatumikia miaka yote 10+ akili watu wanakuwa wamemuazima nani?
 
Anaweza kupewa na u DC,au usemaji wa chama Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…