Kwa niliyoyashuhudia Gongolamboto leo hakika nitawashangaa sana wapiga kura wa Tarime kama watamchagua Mwita Waitara

Mkuu nasikia unalitaka Jimbo😂, anyway Waitara alishajua ndio maana yupo kubadili uwanja wa mapambano. Wasaliti wote watalipwa October.
 
Huku gongo la mboto kulikuwa na madaraja matatu,la ulongoni B,pugu,na kinyerezi hayo mawili pugu na ulongoni yalishaondoka na maji miaka miwili au mitatu sasa,hili la kinyerezi siwezi kusema ni daraja ila kivuko kidogo tu nacho kimeondoka,huku tupo kisiwani yaani parking za magari tunaacha gongo la mboto alafu tunavuka maji ya kiuno kwenda kazini what a shame..,huyo waitara ukiacha huku gongo la mboto huko kitunda na maeneo yake ndio hakufai kabisa,akiongea mishipa ya shingo imemsimama utafikiri anamaanisha kumbe hamna kitu, ameshaona ana 100 asilimia ya kutopata hata kura moja huku Ukonga,huko tarime mwaka huu akipita nitaamini wanasiasa ni washirikina hundred percent.
 
Bila kutaja Chadema huendi Choo? Waulize MaCCM wenzio walimpata wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwita Waitara kajiua kisiasa tuulizane tu mazishi lini na wapi.
 
Nchi hii imejaa kundi kubwa sana la wanasiasa ambao anapaswa kuwa LEBENSUWERTES LEBENS.

basi tu tunakosa vitendea kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhaha naona umeamua kushiriki siasa chafu. Acha apambane nazo huko ccm.

Sisi wapiga kura tutawanyoosha wahuni wotee.

Sent using iphone pro max
 

Kumbuka alivyopita Ukonga 2.0. Mwamuzi ni dola; kura hazihitajiki kabisa awamu hii. Labda dola imtupe.
 
Ni naibu waziri yule! Sio mbunge tu
 
Wewe John Heche tuliza kipago,pia muache ujenzi holela na uvamizi wa maeneo kisa tu na mimi na nyumba Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilikuwepo maeneo ya kule.. Hali ya barabara kutoka Msongola mpaka Kitunda haitofautiani na njia ya kwenda kuzimu.
Tanroads/ Tarura waamke kwenye usingizi mzito angalau hata kwa kujenga makalavati na kuinua tuta maeneo ya mabonde ili bara bara ipitike.
 
Tarime wanajitambua labda apewe ubunge na polisi huku akiongoza tokea dar.Ameshindwa akiwa cdm akawadanganya ukonga eti sababu alikuwa cdm wakampa tena akiwa ccm kashindwa,kwa dar Jimbo la ukonga ndilo lenye miundombinu mibovu,mvua ikinyesha ni kisiwa
 
Tarime wanajitambua labda apewe ubunge na polisi huku akiongoza tokea dar.Ameshindwa akiwa cdm akawadanganya ukonga eti sababu alikuwa cdm wakampa tena akiwa ccm kashindwa,kwa dar Jimbo la ukonga ndilo lenye miundombinu mibovu,mvua ikinyesha ni kisiwa
 
Kwani yeye ndiye kaleta mafuriko.
 

Hio ndo kazi ya Moshi wa mwenge kulaza akili
 
Lakini Dar si Mkoa wa Makamu wa pili wa Rais Bara??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…