Kwa ninachikiona hapa Nakuru.

Hemed Morocco ni kocha mzuri kuliko Hans Van Pluijm
Hakuna walichokicheza kipya sana zaidi ya jitihada binafsi za Manjika Jr. Kuokoa michomo ya magoli ya wazi pamoja na uzembe wa forward za leopard kushoot off target magoli ya wazi. Kipa wa leopard alikuwa likizo kuu kwani hakuna kashkash yoyote aliyoipata kutoka kwa walima alizeti hao.
 
Ilikuwa bahati yao tu kushinda team za Kenya siyo nzuri kihivyo hata lipuli yuko vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…