balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Hemed Morocco ni kocha mzuri kuliko Hans Van Pluijm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]themed tena wewe na m/kiti hamna tofauti
siyo morocco tu...tuna makocha wazuri wengi tu...kama akina mwambusi na wengineo...wangepewa support kama hawa wazungu....wangefanya maajabuHemed Morocco ni kocha mzuri kuliko Hans Van Pluijm
Singda utd kaenda nusu fainali kwa penalties 4_2Ngp ngapi?
Hakuna walichokicheza kipya sana zaidi ya jitihada binafsi za Manjika Jr. Kuokoa michomo ya magoli ya wazi pamoja na uzembe wa forward za leopard kushoot off target magoli ya wazi. Kipa wa leopard alikuwa likizo kuu kwani hakuna kashkash yoyote aliyoipata kutoka kwa walima alizeti hao.Hemed Morocco ni kocha mzuri kuliko Hans Van Pluijm
Ilikuwa bahati yao tu kushinda team za Kenya siyo nzuri kihivyo hata lipuli yuko vizuriHakuna walichokicheza kipya sana zaidi ya jitihada binafsi za Manjika Jr. Kuokoa michomo ya magoli ya wazi pamoja na uzembe wa forward za leopard kushoot off target magoli ya wazi. Kipa wa leopard alikuwa likizo kuu kwani hakuna kashkash yoyote aliyoipata kutoka kwa walima alizeti hao.