Kwa nini Ajira Portal imeondoa option ya kufuta vyeti vyenye makosa?

Kwa nini Ajira Portal imeondoa option ya kufuta vyeti vyenye makosa?

kwiji junior

New Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu mfumo wa Ajira Portal. Kwenye mfumo huo, kuna cheti nilichoweka lakini kina makosa, na ninahitaji kukifuta ili niweke taarifa sahihi.

Hata hivyo, nimegundua kuwa hakuna tena option ya kufuta cheti kilichowekwa kimakosa. Naomba kufahamu sababu ya kuondolewa kwa huduma hiyo na kwa nini mtumiaji asipewe fursa ya kurekebisha au kufuta nyaraka alizoweka kwa makosa.

Ikiwa cheti kimewekwa kimakosa au kina taarifa zisizo sahihi, mtumiaji anapaswa kufanya nini ili kukiondoa na kuweka cheti sahihi?

Tunaomba Ajira Portal itoe utaratibu rahisi wa kurekebisha makosa kama haya ili kuwawezesha waombaji kujaza taarifa zao kwa usahihi.
 
Screenshot_20261003_140104.jpg
 
Back
Top Bottom