Gbt mshaajiriwa kumbe?Itakuwa ni utaratibu wao tu. Pia kuna taasisi kama GBT na TCRA zilipoajiri hakuna sehemu yoyote majina ya walioitwa kazini yalikuwa published. Kuna ulakini.
Juzi kati tu hapo, BOT waliajiri na majina yaliwekwa mtandaoni.
Watu tayari wapo kazini mkuu. Sasa hivi wananipigia simu nikawafungie madishi ya DSTV na AZAM. TCRA wanapitia utumishi ila majina ya walioitwa kazini hayakuwekwa kwenye website. Nao wapo kazini tangu Mwezi February.Gbt mshaajiriwa kumbe?
Tcra mbona huwa wanapitia utumishi?
a wabItakuwa ni utaratibu wao tu. Pia kuna taasisi kama GBT na TCRA zilipoajiri hakuna sehemu yoyote majina ya walioitwa kazini yalikuwa published. Kuna ulakini.
Juzi kati tu hapo, BOT waliajiri na majina yaliwekwa mtandaoni.
BOT wanapitia psrs mkuu.Itakuwa ni utaratibu wao tu. Pia kuna taasisi kama GBT na TCRA zilipoajiri hakuna sehemu yoyote majina ya walioitwa kazini yalikuwa published. Kuna ulakini.
Juzi kati tu hapo, BOT waliajiri na majina yaliwekwa mtandaoni.
So wako juu ya sheria?TRA ni Autonomous institution
Kwani sheria inasemaje?So wako juu ya sheria?
Kazi zote zipitie psrsKwani sheria inasemaka
Umefika chuo kikuu kweli? TPA, BoT sio autonomous?TRA ni Autonomous institution
Tra wanatumia huo mwanya wa kuajiri wenyewe kuingiza ndugu zao ambao kimsingi walikuwa hawana uwezo wa kushindana kwenye interview za psrsKazi zote zipitie psrs
Mchakato uwe huru na transparency izingatiwe
Sheria gani hiyo?Kazi zote zipitie psrs
Mchakato uwe huru na transparency izingatiwe
Chuo kikuu ndiyo nini? Mi nakupa real life experienceUmefika chuo kikuu kweli? TPA, BoT sio autonomous?
Real life experience ndio nini? Wakati unaandika vitu utopoloChuo kikuu ndiyo nini? Mi nakupa real life experience