Angela Kizigha ni untouchable kwa utawala huu, watu aliokula nao hizo pesa za tenda ya sare za polisi ndiyo haohao walioshirikiana kumuua Mwendazake, ndiyo timu hiyohiyo iliyopanga na kufanya massacre ya MO29 so you can see how deeply secretive their cult is.View attachment 3569282
Tangu Rais Samia alipomteua Angela Kizigha kuwa Mbunge Aprili 2, 2026 kumekuwa na maneno mengi mno kuhusu mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EALA).
Chanzo cha maneno hayo ni tuhuma zinazomkabili Kizigha za kutokamilisha tenda ya ununuzi wa sare za Jeshi la Polisi, ambapo ilibainika kuwa sare hizo hazikuletwa.
Suala hilo liligusiwa na Hayati Rais John Magufuli alipokuwa akizungumza katika Ikulu ya Dar es Salaam Julai 18, 2016, akisema kuna mtu amelipwa mabilioni ya fedha kwa ajili ya kuleta sare za Jeshi la Polisi, lakini hazikuletwa na akautaka uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ufuatilie.
View attachment 3569289
Kupitia ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2018 ilibainika kuwa kampuni ya Daissy General Traders alipewa zaidi ya Sh16.66 bilioni lakini hakuleta sare hizo.
Ukaguzi wa CAG ulibaini, kuwa maoni ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali hayakuzingatiwa na malipo ya Sare za Polisi ambazo hazikuletwa kwa Boharia Mkuu wa Jeshi la Polisi Sh.16,660,000,000 hazikurejeshwa.
Pia Mzabuni alishindwa kuwasilisha nyaraka za kuthibitisha uletaji wa mzigo, ikiwemo hati ya kupokelea Shehena ya Mzigo Bandarini (Bill of Lading), hati ya madai kutoka kwa mtengenezaji (Commercial Invoice), hati ya mzigo ulipotoka (Certificate of Origin), orodha
za mali zilizopo kwenye meli (Packing List) na cheti cha ukaguzi wa bidhaa (Inspection Certificate) kutoka kwa Mzabuni Daissy General Traders kwa ajili ya kujiridhisha kama bidhaa husika zililetwa nchini.
View attachment 3569290
Kwa mujibu wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, Angela Kizigha aliyekuwa amegombea ubunge Kawe Dar es Salaam mwaka 2020, alienguliwa kwenye ushindani huo na Rais John Magufuli, akitoa sababu hiyo hiyo ya upotevu wa fedha za sare za polisi na alisema watamshitaki.
Hata hivyo, Polepole alishangazwa na ukaribu wa Kizigha na Rais Samia Suluhu Hassan, baada ya kifo cha Magufuli na hatimaye akawa mtu wake wa karibu.
Kizigha alikuwa mtu wa karibu hata kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa 2025 na hatimaye sasa ameteuliwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano.
Tangu zilipoibuka kashfa za upotevu wa fedha kwa ajili ya sare za polisi, Angela Kizigha hajawahi kujitokeza hadharani akakanusha, wala pengine kuchukua hatua za kisheria kusafisha jina lake.
Kama hiyo kashfa ni ya uongo au kusingiziwa, tungetarajia kumwona akikanusha hadharani au pengine hata chama chake kumshafisha kwamba hahusiki. Lakini suala hilo lilifinyangwa finyangwa baada ya kifo cha Magufuli na hatimaye sasa Kizigha ni mtu wa karibu na rais.
Badala yake sasa wanaibuka chawa kumtetea Kizigha. Wengine wanasema ametokea katika familia ya kiukombozi iliyomsaidia Baba wa Taifa Julius Nyerere alipotaka kuuawa. Kwamba baba yake Kizigha (Charles Kizigha) ndiye aliyefichua njama za kuuawa Nyerere na kufanikisha kukamatwa kwao.
Sasa hata kama ametokea kwenye failia hiyo, inahusikaje na kashfa iliyoko mbele yake? Kwamba mtu akitoka kwenye familia ya ukombozi, basi yuko huru kufanya ufisadi?
Wapo wengine wanasema licha ya Magufuli kutaja kashfa ya ununuzi wa sare za polisi, lakini hakukuwa na uthibitisho. Kama ni hivyo, mbona walikaa kimya bila kujisafisha. Kama kuna uchunguzi ulifanywa na kubaini kwamba Kizigha hana hatia, kwa nini haukuwekwa wazi.
Nimewaita hao watetezi wa Kizigha kuwa ni chawa, kwa sababu wanatetea kitu kisichowahusu. Kama ni kosa anatuhumiwa Kizigha, basi yeye mwenyewe ajitokeze ajitetetee, sio kutuma vibataka wa kumtetea mitandaoni.
Kwa upande mwingine, Rais Samia aliyemteua naye alipaswa kufafanua suala hilo, lakini kama atakaa kimya, basi kuna kitu hakipo sawa.
Unatetea kila uchafu ili ujikimuKwa mtu anayewajua watanzania, hawezi kupoteza muda kujibu hisia za watu
"unapokuwa safarini, usipoteze muda wako kumrushia mawe kila mbwa anayekubwekea, kuna wengne wanabweka ili ujue kuwa hapo kuna mbwa"
Mwenye ushahidi atangulie mahakamani mkahojiane huko kizimbani
-utasikia mbwa wengne wanabweka mahakama gani? nasi binadamu tutamjibu "kwa hyo majibu yake yasiyo na shinikizo la kisheria ndo utayaamini kuliko yale ya kizimbani?
kizigha achana nao piga kazi, kelele za kubweka hazijaanza leo.
kizigha huyu huyu akienda huko tecdema ataonekana malaika na hakuna atakaye panua matako wala vidole kuhoji
-mifano ipo..kwa hayati lowassa, sumayi?
kwa hyo msipigie watu kelele maana hamjui siasa wala uongozi wa kisiasa.
Mama Salma Kikwete alikuzidi kete kwa JK nini, mbona una hasira sana na huyo mtu?!!!!!!! Pimzika, vuta pumzi utulie.Kikwete hatakubali
Mbona hujajibu hoja zake?!!!Unatetea kila uchafu ili ujikimu
We nyumbu akili uliobakia nayo ni ya kunywa maji tu ili usikate moto!Unatetea kila uchafu ili ujikimu
Kilichomfanya Magufuli kushindwa kumfikisha mahakamani kama ni kweli ni nini Hadi iwe nongwa?View attachment 3569282
Tangu Rais Samia alipomteua Angela Kizigha kuwa Mbunge Aprili 2, 2026 kumekuwa na maneno mengi mno kuhusu mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EALA).
Chanzo cha maneno hayo ni tuhuma zinazomkabili Kizigha za kutokamilisha tenda ya ununuzi wa sare za Jeshi la Polisi, ambapo ilibainika kuwa sare hizo hazikuletwa.
Suala hilo liligusiwa na Hayati Rais John Magufuli alipokuwa akizungumza katika Ikulu ya Dar es Salaam Julai 18, 2016, akisema kuna mtu amelipwa mabilioni ya fedha kwa ajili ya kuleta sare za Jeshi la Polisi, lakini hazikuletwa na akautaka uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ufuatilie.
View attachment 3569289
Kupitia ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2018 ilibainika kuwa kampuni ya Daissy General Traders alipewa zaidi ya Sh16.66 bilioni lakini hakuleta sare hizo.
Ukaguzi wa CAG ulibaini, kuwa maoni ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali hayakuzingatiwa na malipo ya Sare za Polisi ambazo hazikuletwa kwa Boharia Mkuu wa Jeshi la Polisi Sh.16,660,000,000 hazikurejeshwa.
Pia Mzabuni alishindwa kuwasilisha nyaraka za kuthibitisha uletaji wa mzigo, ikiwemo hati ya kupokelea Shehena ya Mzigo Bandarini (Bill of Lading), hati ya madai kutoka kwa mtengenezaji (Commercial Invoice), hati ya mzigo ulipotoka (Certificate of Origin), orodha
za mali zilizopo kwenye meli (Packing List) na cheti cha ukaguzi wa bidhaa (Inspection Certificate) kutoka kwa Mzabuni Daissy General Traders kwa ajili ya kujiridhisha kama bidhaa husika zililetwa nchini.
View attachment 3569290
Kwa mujibu wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, Angela Kizigha aliyekuwa amegombea ubunge Kawe Dar es Salaam mwaka 2020, alienguliwa kwenye ushindani huo na Rais John Magufuli, akitoa sababu hiyo hiyo ya upotevu wa fedha za sare za polisi na alisema watamshitaki.
Hata hivyo, Polepole alishangazwa na ukaribu wa Kizigha na Rais Samia Suluhu Hassan, baada ya kifo cha Magufuli na hatimaye akawa mtu wake wa karibu.
Kizigha alikuwa mtu wa karibu hata kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa 2025 na hatimaye sasa ameteuliwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano.
Tangu zilipoibuka kashfa za upotevu wa fedha kwa ajili ya sare za polisi, Angela Kizigha hajawahi kujitokeza hadharani akakanusha, wala pengine kuchukua hatua za kisheria kusafisha jina lake.
Kama hiyo kashfa ni ya uongo au kusingiziwa, tungetarajia kumwona akikanusha hadharani au pengine hata chama chake kumshafisha kwamba hahusiki. Lakini suala hilo lilifinyangwa finyangwa baada ya kifo cha Magufuli na hatimaye sasa Kizigha ni mtu wa karibu na rais.
Badala yake sasa wanaibuka chawa kumtetea Kizigha. Wengine wanasema ametokea katika familia ya kiukombozi iliyomsaidia Baba wa Taifa Julius Nyerere alipotaka kuuawa. Kwamba baba yake Kizigha (Charles Kizigha) ndiye aliyefichua njama za kuuawa Nyerere na kufanikisha kukamatwa kwao.
Sasa hata kama ametokea kwenye failia hiyo, inahusikaje na kashfa iliyoko mbele yake? Kwamba mtu akitoka kwenye familia ya ukombozi, basi yuko huru kufanya ufisadi?
Wapo wengine wanasema licha ya Magufuli kutaja kashfa ya ununuzi wa sare za polisi, lakini hakukuwa na uthibitisho. Kama ni hivyo, mbona walikaa kimya bila kujisafisha. Kama kuna uchunguzi ulifanywa na kubaini kwamba Kizigha hana hatia, kwa nini haukuwekwa wazi.
Nimewaita hao watetezi wa Kizigha kuwa ni chawa, kwa sababu wanatetea kitu kisichowahusu. Kama ni kosa anatuhumiwa Kizigha, basi yeye mwenyewe ajitokeze ajitetetee, sio kutuma vibataka wa kumtetea mitandaoni.
Kwa upande mwingine, Rais Samia aliyemteua naye alipaswa kufafanua suala hilo, lakini kama atakaa kimya, basi kuna kitu hakipo sawa.
Mnapata hela kwa njia ngumu sanaWe nyumbu akili uliobakia nayo ni ya kunywa maji tu ili usikate moto!
Tueleze kwanza mlimalizaneje na wale mawaziri wakuu wastaafu?
Akikujibu naomba unitag mkuu, tafadhali sana!We nyumbu akili uliobakia nayo ni ya kunywa maji tu ili usikate moto!
Tueleze kwanza mlimalizaneje na wale mawaziri wakuu wastaafu?
Linyumbu kama linyumbu halina uwezo wa kuchambua mambo kwa namna hiyo. Yenyewe ipo kwa ajili ya kukaririshwa ujinga ujinga tu na kina lissu au kitima basi. Mjulishe kuwa miaka mitano baadae baada ya kutoa kauli hiyo, JPM alikuwa yupo tu na madaraka yake........muda ulimtosha yeye kama yeye kumshughulikia.Kilichomfanya Magufuli kushindwa kumfikisha mahakamani kama ni kweli ni nini Hadi iwe nongwa?
Kwa nini usiwe uzushi na vita za Kisiasa Kwa sababu hakuwa mtu wake?
Naendelea kuunga mkono hoja,akae kimya mtafute majibu wenyewe
Kwa mtu anayewajua watanzania, hawezi kupoteza muda kujibu hisia za watu