MmhNingekumbuka kwasababu balance yenyewe haijawahi kuzidi laki.
Vipi kuhusu gharama??SIMBANKING. Naitisha fedha kutoka kwenye akaunti yangu. Inaingia kwenye mpesa akaunti. Natumia. Sina haja ya ATM.
Tuchukulie wapi?!!!Hivi bado watu wanatumia ATM kuchukua hela. Du. Kwa kweli badilikeni mwende na teknolojia.
kutoa kwenye ATM ni cheaper kuliko hiyo simbanking .SIMBANKING. Naitisha fedha kutoka kwenye akaunti yangu. Inaingia kwenye mpesa akaunti. Natumia. Sina haja ya ATM.
Kwenye urasisi wa kufanya jambo hatuangalii unafuukutoa kwenye ATM ni cheaper kuliko hiyo simbanking .
Makato yake ni makubwa sana unapoteza hela nyingi sanaSIMBANKING. Naitisha fedha kutoka kwenye akaunti yangu. Inaingia kwenye mpesa akaunti. Natumia. Sina haja ya ATM.
Si kila ATM mkuu. Inategemea na jinsi ilivyosetiwa. Zipo zinazotoa kadi kwanza na zipo zinazotoa hela kwanza. Mf. ATM kwenye banks nyingi za china huanza kutoa hela kwanza. Kisha kadi unaitoa kama hutaki kufanya miamala mingine kama transfer/deposit/exchange nkumewahi kujiuliza kwa nini ATM hutoa kwanza kadi kabla ya hela??
waliodesign ATM wanajua hulka ya binadamu kwamba akishapata anachotaka anasepaaa...
yan ATM zingekua zinatoa kwanza mshiko kila siku tungesikia kesi za kusahau kadi kwenye vyumba vya ATM..
WANGAPI wangekumbuka kuchukua kadi baada ya kupata mshiko???/
umewahi kujiuliza kwa nini ATM hutoa kwanza kadi kabla ya hela??
waliodesign ATM wanajua hulka ya binadamu kwamba akishapata anachotaka anasepaaa...
yan ATM zingekua zinatoa kwanza mshiko kila siku tungesikia kesi za kusahau kadi kwenye vyumba vya ATM..
WANGAPI wangekumbuka kuchukua kadi baada ya kupata mshiko???/
vp makato?SIMBANKING. Naitisha fedha kutoka kwenye akaunti yangu. Inaingia kwenye mpesa akaunti. Natumia. Sina haja ya ATM.
Tungejiepusha kutoa Pesa kaka ATMPia najiuliza kama fedha zimetoka zimepungua wakati zinatoka kwenye ATM nini cha kufanya?