Kwa nini ATM hutoa kadi kabla ya hela?

Kwa nini ATM hutoa kadi kabla ya hela?

Me Nafikiri iundwe Tume kushughulikia hili swala... Zitaacha Kutoka mapema Badala yake zianze Kutoka kwanza PEI
 
Kwa wanaokumbuka miaka kadhaa iliyopita (around 2006), ATM za NBC zilikuwa zinatoa pesa kabla ya kadi-(actually inakupa hata risiti kabla ya kadi), na watu wengi sana walikuwa wanasahau kadi zao. Designer wa hiyo software alichemka, nadhan haikufanyika analysis ya kutosha kuhusiana na watumiaji.
 
ahaha mbesa kitu ingine kabisa

ukishashika kama hauko makini unasahau kila kitu
 
Je kwasisi tunao weka pesa mchagoni....[emoji45] [emoji45]
 
Mwanzoni ilikuwa hivi pesa kwanza na kadi badae na ikaonekana watu walikuwa wanaaacha kadi zao ndo maana ikabadilishwa
 
umewahi kujiuliza kwa nini ATM hutoa kwanza kadi kabla ya hela??

waliodesign ATM wanajua hulka ya binadamu kwamba akishapata anachotaka anasepaaa...

yan ATM zingekua zinatoa kwanza mshiko kila siku tungesikia kesi za kusahau kadi kwenye vyumba vya ATM..

WANGAPI wangekumbuka kuchukua kadi baada ya kupata mshiko???/
Si kila ATM mkuu. Inategemea na jinsi ilivyosetiwa. Zipo zinazotoa kadi kwanza na zipo zinazotoa hela kwanza. Mf. ATM kwenye banks nyingi za china huanza kutoa hela kwanza. Kisha kadi unaitoa kama hutaki kufanya miamala mingine kama transfer/deposit/exchange nk
 
Hii ni kuepushaa kupagawaaa baada ya Kuona helaa wengi husahau ATM card zaooo[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] So kabla hujachanganyikiwa na pesaa kamata kwanza ATM card yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ningekumbuka ila nisingeshangaa ikitokea siku nikaisahau

Back
Top Bottom