Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
itategemea wewe umemjibu vipi wakati unaombwa pesa labda umetoa kashfa.....mwanamke anayekupenda na kukuthamini maneno kama hayo sio ustaarabu....... labda awe anakuchukulia kama ATM/kukuchuna
kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia ya kurusha maneno ya kukashifu,kudharau au kukejeli pale wanapoomba kitu kwa wapenzi wao na kukikosa?
Utasikia mwanaume gani huna hela,mwanaume ndevu mara mwanaume suruali. Kwa nin wanafanya hivi?
Ila wakipata wakitakacho majina kama Baby,sweetie,my love my darling hua hayaishi.
Nawasilisha.

sina ka kuungezea hapo mpendwa,

umenena vzr

sina ka kuungezea hapo mpendwa,

umenena vzr

Nadhan tutambue penzi la dhati ni lilelinalotoka ndani ya nyama za moyo. Upendo wa dhati huvumilia, pendo halitaki makuu, mimi naamini kuwa hama kitu duniani ambacho kinaweza kumfanya mwanadamu awenafuraha yadhati kama kujua kunamtu anayempenda kwa dhati ya moyo.. Kejeli, kashfa, matusi ni dhihirisho la kilichojifika moyoni.. Maranyingine nadhani ni uvivu wa kufikiri kwa baadhi ya wanawake ama nikutokana na kutokushirikishwa katika maamuzi muhimu ya kifamilia mwanamke anakuwa hana maamuzi na mpangilio wa fedha hapewi fursa ya kuchangia lau kimawazo maendeleo ya familia hii inapelekea ajione mtumwa ndani ya ndoa na asiekuwa na thamani hapa ndipo upendo unapo poa, na zao la upendo kupoa ndio dharau matusi na kejeli.. Wanaume tunapaswa kutazama tulipo jikwaa na sio tulipo angukia, na iwapo mwanamke unamshirikisha vilivyo katika nyanja zote lakini bado akataka vitu vilivyo nje ya uwezo wako! basi tambua huyo hana mapenzi yakweli na wewe... Siku shauri umwache la! kwani sio rahisi malaika kushuka kutoka mbinguni kuja kubadili tabia za wanadamu bali wanadamu tunapaswa turekebishane sisi kwa sisi, kumbuka usije ukatumia shoka ukucha unapofaa... Ahsante

na je, ni kwa nini wanaume huwarushia matusi wanawake tena hadi ya nguoni, pale wananpowatongoza na kuwakataa? This goes to both sides.
kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia ya kurusha maneno ya kukashifu,kudharau au kukejeli pale wanapoomba kitu kwa wapenzi wao na kukikosa?
Utasikia mwanaume gani huna hela,mwanaume ndevu mara mwanaume suruali. Kwa nin wanafanya hivi?
Ila wakipata wakitakacho majina kama Baby,sweetie,my love my darling hua hayaishi.
Nawasilisha.

He kumbe ndo mlivo,inamana Mimi naweza kua ATM?

Umerera kindo meku.
"We umesikia mi ATM!"itategemea wewe umemjibu vipi wakati unaombwa pesa labda umetoa kashfa.....mwanamke anayekupenda na kukuthamini maneno kama hayo sio ustaarabu....... labda awe anakuchukulia kama ATM/kukuchuna

"We umesikia mi ATM!"

"ZINATAFUTWA"

"UNADHANI ZINAOKOTWA?"

"SIWAPI MACHANGU MIMI "n.K