Kwa Nini Baadhi ya Wasichana Wanapata Waume Wa Kuwaoa Haraka Lakini...?

Kwa Nini Baadhi ya Wasichana Wanapata Waume Wa Kuwaoa Haraka Lakini...?

Bora mara mia Msichana akubali kuolewa na mwanaume akiwa hajaokoka ,na akae akijua wazi yupo na mtu wa aina gani,kuliko kutumia ushawishi wa aina yoyote "kumuokoa" au yeye mwanaume "ajilazimishe" kuokoka,it will be a disaster.
NB; kuhusu swali lako,inategemea na dhehebu,mengine hawakupokei ng'oo,wengine watakuchunguza,na wengine utapokelewa chapchap hasa kama una vijisenti.

Sure!
 
Back
Top Bottom