Kwa nini babu zetu waliishi maisha marefu

Mabel

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2010
Posts
1,276
Reaction score
684
Sababu kuu za babu zetu kuishi maisha marefu ni pamoja na hizi hapa
  1. Ndoa za mitaala (wake zaidi ya mmoja)
Babu zetu walioa wake wengi ili kupunguza msongo wa mawazo ambao hufupisha urefu wa maisha. Ukiwa na wake zaidi ya mmoja, mmoja atakuwa anahangaika ili akuvutie kwake na atapambana na mke mwenzie wewe unakula bata tu, lakini ukiwa na mke mmoja atambana na wewe direct.

Wanawake wanachoka mapema kuliko wanaume hivyo kupelekea wakati mwingine unakuta mwanamke hana hamu tena ya kukutana na mme wake kimwili wakati mme bado damu inachemka, ukute hapo mmeshapata na wajukuu utakuta wife anachukua wajukuu zake analala nao ili usipate mda wa kumsumbua. Ili kuondokana na tatizo hili babu zetu walikuwa wanaona wake wengi (tena mke wa pili na kuendelea unakuta visichana vidogo) wapate mda wa kutunzwa hadi wanakufa. Mke mmoja anakuua.

Hiyo moja, zingine endeleeni wadau....

Weekend njema wakuu
 
Hakuna aliesahihi zaidi ya Mungu!
 
short times na clubing sexx hazikuwepo enzi hizo bhana!
 
Vyakula vya asili viliwasaidia pamoja na dawa za asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…