Mauzo yako yakiongezeka utamlipa huyo anayekusaidia kuchambua au unaweza kuwaomba wateja watoe tip ndogo ndogo kumlipa mchambuaji.Watanzania wengi wanapenda vya bei ndogo
Kwa nini si rahisi kulitekeleza? Ni suala la mtu mmoja kuona litampa faida ya kiushindani kwenye soko na wateja wakiitika, wauzaji wote watafuata mkumbo.Ni wazo zuri ila sio rahisi kulitekeleza soko la kisutu wanajitahidi sana kuweka bidhaa zao katika usafi na ubora nadhani siku Moja tutafika huko
Mfano mzuri ni wauza matunda wanavyoyapaki vizuri
Bidhaa nyingi zinafanyiwa packaging nadhani tunaelekea huko bado Mchele ambao nadhani inatokana na wateja ambao ukichambua vizuri ukawaambia 3000 kilo wataenda kwa asiechambua wa 2700 so Bora umuuzie hivyo hivyo ili umpate anaetaka wa kuchambuliwa achukue wa korieKwa nini si rahisi kulitekeleza? Ni suala la mtu mmoja kuona litampa faida ya kiushindani kwenye soko na wateja wakiitika, wauzaji wote watafuata mkumbo.
Kwenye matunda siku hizi naona wanajitahidi ila nilikuwa nashangaa matunda unakuta ni machafu yana udongo umegandiana.