Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kwenye majiji angalau unaweza kuona barabara za lami au zege zinajengwa mitaani ila ni nadra sana kukuta barabara za vijijini zina lami, labda kwa mikoa michache kama Kilimanjaro.
Kuna sera inayoelekeza barabara za lami zijengwe kwenye mitaa ya majiji na sio vijijini??
Hii hapa ni barabara ya lami huko kijijini Kandundu, Muranga County, Kenya.
Kuna sera inayoelekeza barabara za lami zijengwe kwenye mitaa ya majiji na sio vijijini??
Hii hapa ni barabara ya lami huko kijijini Kandundu, Muranga County, Kenya.