Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
barca wataendelea kushinda mpaka pal uongozi wakina platini utakapo koma..
Barca hata mkitaka mechi zote mbili icheze ugenini wala siyo dawa, wale ni mziki mwingine ni next level.
Wadau naona wote mmechangia ila sijaona aliyetoa jibu sahihi katika hii hoja...Ni hivi miaka ya nyuma walikuwa wanachagua kwa kuzingatia matokeo yaliyotangulia katika hatua iliyopita.timu iliyofanya vizuri zaidi inapewa advantage ya kuanza ugenini..kwa mfano Chelsea walimfunga Benfica 1-0 ugenini na 2-1 nyumbani (agg 3-1) wakati Barca walidraw milan na kumfunga 3-1 AC Milan nyumbani..kwa sababu Chelsea walikuwa na aggregate sawa na Barca kwa hii old rule wangepewa advantage ya kuanzia away kwa sababu wana better away result,kwa kumfunga Benfica nyumbani kwake LAKINI old rule hii haitumiki kwa sasa badala yake wakati wanafanya draw ya hatua zote hadi fainali,sio tu draw ya nani anacheza na nani bali pia ya nani anaanzia wapi..Kwa mfano maneno ya mtangazaji " We are going for the semi final draw now,remember the first team to be drawn will be playing the first leg away.<<.balls rolling>>..Its Barcelona..so Barcelona will play the first semi final leg away against who?..<<balls rolling>>..Chelsea..so our first semifinal will be Chelsea vs Barcelona..
ni mpango wa kuzipeleka fainal timu za spain,nililiona tangu mwanzo!
kiko wapi?
Barca uharo tu...
Kwenye mpira siku zote kuna favourite na underdog. Kwenye mpira wa kimataifa, SIKU ZOTE mechi inaanzia kwa Underdog na kumalizia kwa favourite. Ndiyo maana Chelsea imeanzia home na kumalizia ugenini. Na ndiyo maana Bayern wameanzia home na Madrid wanamalizia kama ilivyo kwa Chelsea na Barca.
Hii ndiyo sababu ya sisi kutolewa na timu za Misri maana sisi ni underdog tunaanzia home kwetu siku zote. Hii ndiyo maana Simba ilianzia Kigali maana Rwanda ni underdog kwa simba na ndiyo maana tulipopangwa na Algeria sisi tukaanzia Dar maana kwa Algeria sisi ni Wachovu(Ingawa tumewatoa). Kumbuka status hii inabadirika kutegemea na ubora wenu kwenye msimu husika.