Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabenki yetu hadi leo yanakumbatia sera za ujamaa, benki kubwa kama NMB na CRDB bado yanakomaa na Tanzania wakati wana uwezo wa kwenda nje ya mipaka na kufungua branches. Angalia equity, kcb and others
Kaka nchi hii ni kubwa sana kiasi kwamba mpaka June 2012 ni asilimia 8% ya watanzania ndio wanatumia Huduma za kibank.ngoja kwanza zitapakae uko kijinini ndio zifikirie kwenda nje
Mabenki yetu hadi leo yanakumbatia sera za ujamaa, benki kubwa kama NMB na CRDB bado yanakomaa na Tanzania wakati wana uwezo wa kwenda nje ya mipaka na kufungua branches. Angalia equity, kcb and others
Miaka kibao mnakimbiza maporini wakati hakuna cha maana/?
Mbona mimi napigana nao vikumbo kila siku. Na nimesha kopa mara mbili kupitia mwajiri wangu. Tena bila usumbufu wowote.
Pia kama una shida ingia kwenye website tafuta contact, piga..watakuja mara moja sana. Lakini pia katika ofisi kubwa kuna afisa utumishi anayeshughulikia mambo ya mikopo. So yeye ana contact zao wote na anasaidia kufacilitate kila ktu. In 3 days kila una kamata hela.
Really? Au kwa vile wewe upo Dar? Mikoani hali ni tofauti,wanakuja sana tu mbona labda ofsin kwenu cjui lakin CRDB na nyinginezo zinatufata na kutufungulia account bure.
Mabenki yetu hadi leo yanakumbatia sera za ujamaa, benki kubwa kama NMB na CRDB bado yanakomaa na Tanzania wakati wana uwezo wa kwenda nje ya mipaka na kufungua branches. Angalia equity, kcb and others
kwa sasa CRDB wamepiga hatua ,japo si kubwa ,wanabrach Bujumbura!