Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂Wonders shall never end...
Hao madereva wa bodaboda walikuvulia suruali zao ndo ukaziona??
Ama kweli Bashite ndo maana kashindwa kupambana na ushoga...
Kweli asee,Mkuu sio pikipiki pekee, hata gari jeusi linavutia, binafsi navutiwa na gari jeusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakutaka radhi...🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Acha nizidi kuwasifu walimu😀😀😀😀😀, kweli wana kazi, 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀haya bhana asante kwa maoni yako
Nina upeo mdogo wa kuwasilisha hoja ikaeleweka, sasa nimewafikiria wale wanaofanya kazi ya kuelewesha watu darasani, wala usijali.Mkuu nakutaka radhi...
Nakiri nimesoma bandiko lako kwa kukurupuka...
So sorry na nimeshafuta kauli yangu kwa kudelete post yangu