Kwa nini boxer nyeusi?

Kwa nini boxer nyeusi?

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,680
Reaction score
2,779
Habari wanajukwaa,
Yani huwa najiuliza, hivi siku hizi boda boda za hapa Dar wana uniform motocyles? mbona 89% naona ni pikipiki za boxer nyeusi?
 
Mkuu umeajiriwa na TWAWEZA kufanya utafiti wa bodaboda na vyombo vyao???
 
Wonders shall never end...

Hao madereva wa bodaboda walikuvulia suruali zao ndo ukaziona??

Ama kweli Bashite ndo maana kashindwa kupambana na ushoga...
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Acha nizidi kuwasifu walimu😀😀😀😀😀, kweli wana kazi, 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀haya bhana asante kwa maoni yako
 
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Acha nizidi kuwasifu walimu😀😀😀😀😀, kweli wana kazi, 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀haya bhana asante kwa maoni yako
Mkuu nakutaka radhi...

Nakiri nimesoma bandiko lako kwa kukurupuka...

So sorry na nimeshafuta kauli yangu kwa kudelete post yangu
 
nin
Mkuu nakutaka radhi...

Nakiri nimesoma bandiko lako kwa kukurupuka...

So sorry na nimeshafuta kauli yangu kwa kudelete post yangu
Nina upeo mdogo wa kuwasilisha hoja ikaeleweka, sasa nimewafikiria wale wanaofanya kazi ya kuelewesha watu darasani, wala usijali.
 
Back
Top Bottom