Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Nimepitia comment za kwenye huu uzi na nyingi zinachekesha kama sio kushangaza. Watanzania wamewaweka kitimoto wakenya wajieleze ni kwanini hawajafanikiwa!! What absurdity!!
Hata wakenya wakijibu....., what value will it add? Yaaaani inamsaidiaje mtanzania? Ni kama kumuuliza mtu "kwanini we ni mweusi sana?" Alafu akujibu "kwetu si weusi" then what?!!
$%^^^!!@$%^....(shaking head)
Huu mda wa kuwahoji wakenya ungetumika kusoma kitabu, faida ingeonekana.
 
Unatumia nn kufikiri
 
Kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni tabia za kike, kwani wewe unawashwa na nini? Au wanatumia bundle lako
 
Hizo ni tabia za kike, kwani wewe unawashwa na nini? Au wanatumia bundle lako
No, inaitwa common sense. Having Discusions that dont add value is stupid. Nikama tuanzw kujadili kwanini Trump hajajenga ukuta wa mexico, of what value is that?
Sawa sawa na kumuuliza mkenya kwanini hawajafanikiwa, you have your two cents worth but thats a stupid discussion.
 
Pengine wewe ndio unakosea hapa, to me hii mada makes a lot of sense na ilikuwa ni muhimu sana ijadiliwe provided that hata Tanzania sasa inaingia kwenye mfumo wa kibepari, unadhani hata wewe kwenye maisha unaweza kupiga hatua bila kujadili what went wrong or right in your previous moves? Au bila kujifunza kwenye hiyo biashara wengine wanakosea wapi? Unaweza kuanzisha biashara bila kufanya swot analysis?
 
Unachosema ni sahihi ila umeipindisha kidogo, uzi hauongelei mapungufu ya mfumo wa kibepari, unaongelea mapungufu ya watu flani kwenye mfumo tajwa. These are two different discussions and one is not worth having
 
Hatuwezi kwenda kujifunza Uingereza au Canada, it is more relevant kujifunza toka kwa nchi ambazo kihistoria hadi mifumo ya maisha inaendana,
South Africa, Nigeria au Kenya ni mifano mizuri kwetu kujifunza pros and cons za huu mfumo.
 
N mkenya ninae mkubali kw kujibu kw hoja zenye mashiko
ila kwa hapa kaniangusha sana Bwanje
 
Hatuwezi kwenda kujifunza Uingereza au Canada, it is more relevant kujifunza toka kwa nchi ambazo kihistoria hadi mifumo ya maisha inaendana,
South Africa, Nigeria au Kenya ni mifano mizuri kwetu kujifunza pros and cons za huu mfumo.
Naona tumeanza that vicious cycle..... Ngoja niache tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…