iam_paco
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 408
- 687
Utakua huna akili ukidhani uchumi unaletwa na ardhi peke ake. Sis hatuna viwanda, vipo but sio vya kutosha so uchumi wetu unatokana na matumizi mazuri ya ardhi etu kwa sana nikimaanisha uzalishaji wa mazao na hayo madin japo sio kwa wingi, hatuna njaa hapa Tz, mazao ya chakula na biashara Tz tupo top ten africa. therefore tunatendea haki ardhi etu japo sio katka kiwango cha kuridhisha but we are stil improving.Vigezo gani unatumia kupima maana nijuavyo Kenya ni kainchi kadogo bila madini wala raslimali na zaidi ya nusu yake ni kame tupu lakini kanaongoza kiuchumi na kushinda liinchi kama Tanzania ambalo lenyewe ni muungano wa mataifa mawili na lina rotuba nzuri kila mahali na madini kote kote na kila kitu kizuri, ila lenyewe maskini wa kutupwa.
Sasa wewe hapo mwananchi wa nchi kama hiyo maskini unatumia vigezo gani kuja kujilinganisha na Kenya.
Ona Kenya ilivyo na upweke kwenye hi ramani
View attachment 1307857
Usidanganye watu kuwa Kenya haina madini kenya ipo na Gold, Copper, ilmenite and tantalum na mnadhalisha kwa wingi tu, pia Nyie mnajifanya mna viwanda, en stil mnakufa njaa. Kama ardhi enu ni jangwa it means eneo la jangwa mnaliacha,hamdeal nalo which is good. focus enu ipo pale padg tu(na mmefeli), while in Tz tuna eneo kubwa la kudeal with na popln kubwa en we are duing fine coz njaa was never our problem, so ardhi ndogo yenye mining, tourism, agricultural industries ni advantage na sio disadvantage coz popln enu ni ndgo vlevle. But coz nyie ni failed state mmeshindwa ata na ethiopia.
Sent using Jamii Forums mobile app