Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Vigezo gani unatumia kupima maana nijuavyo Kenya ni kainchi kadogo bila madini wala raslimali na zaidi ya nusu yake ni kame tupu lakini kanaongoza kiuchumi na kushinda liinchi kama Tanzania ambalo lenyewe ni muungano wa mataifa mawili na lina rotuba nzuri kila mahali na madini kote kote na kila kitu kizuri, ila lenyewe maskini wa kutupwa.
Sasa wewe hapo mwananchi wa nchi kama hiyo maskini unatumia vigezo gani kuja kujilinganisha na Kenya.

Ona Kenya ilivyo na upweke kwenye hi ramani

View attachment 1307857
Utakua huna akili ukidhani uchumi unaletwa na ardhi peke ake. Sis hatuna viwanda, vipo but sio vya kutosha so uchumi wetu unatokana na matumizi mazuri ya ardhi etu kwa sana nikimaanisha uzalishaji wa mazao na hayo madin japo sio kwa wingi, hatuna njaa hapa Tz, mazao ya chakula na biashara Tz tupo top ten africa. therefore tunatendea haki ardhi etu japo sio katka kiwango cha kuridhisha but we are stil improving.

Usidanganye watu kuwa Kenya haina madini kenya ipo na Gold, Copper, ilmenite and tantalum na mnadhalisha kwa wingi tu, pia Nyie mnajifanya mna viwanda, en stil mnakufa njaa. Kama ardhi enu ni jangwa it means eneo la jangwa mnaliacha,hamdeal nalo which is good. focus enu ipo pale padg tu(na mmefeli), while in Tz tuna eneo kubwa la kudeal with na popln kubwa en we are duing fine coz njaa was never our problem, so ardhi ndogo yenye mining, tourism, agricultural industries ni advantage na sio disadvantage coz popln enu ni ndgo vlevle. But coz nyie ni failed state mmeshindwa ata na ethiopia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo walikaririshwa wimbo ambao ilipokezwa mpaka kwa vijana wao.
Mizembe sana hawa, liinchi lote hilo yaani hadi uunganishe Uganda, Rwanda na Kenya ndio zitoshane na Tanzania halafu ina rotuba kila sehemu, full madini lakini maskini wa kutupwa.

Siyo Rotuba mzee umerekebishwa hapo, ni RUTUBA,
Hiyo Rutuba ndiyo imefanya kama nchi tumejitosheleza kwa Chakula na tuna ziada tunayouza na kusaidia nchi maskini kama Kenya,
Kumbuka Kenya ardhi yenye rutuba yote inamilikiwa na Wanasiasa Ikiwemo familia ya uhuru kenya ambayo pekee inamiliki ardhi inayotosha kuhifadhi wakenya milioni 20 (45% ya Wakenya Wote) pamoja na Wazungu wanaolima maua na chai na kuuza ulaya na Marekani na kuacha Wakenya walio wengi kuishi kwenye umaskini wa kutupwa, Njaa imeathiri sana Maelfu ya Wakenya, mlo ni Taabu sana na Sasa tunashukuru kuona mataifa ya Marekani, Urusi, Uchima na hata UAE
IMG_2630.JPG
IMG_2631.JPG
 
Kenyan capitalism will never work kwa sababu kuna a lot of economic incoherence in the way its capitalism or mode of production has been made. Kwa ufupi mm naweza kusema Kenya haijawahi kupata uhuru mpaka leo hata kama wanajitahidi kubadili katiba na mambo mengi. Ule mfumo wakikoloni ndio unaendelea ,aliondoka mkoloni mweupe akachukua nchi mkoloni mweusi maana hakuna kitu chochote kilichobadilika. Hakuna economic reforms especially interms of land redistribution na mambo mengine. Waliojimilikisha hayo mashamba hawana uwezo wa kutosha wazalisha chakula cha kulisha kenya ,pia walilipa mishahara midogo wafanyakazi wao kiasi kwamba it was just"hand to mouth". So Kenya is a very poor country. Watu wakatumia status zao kuhujumu nchi , wakaomba mikopo IMF and World Bank na kugawana ,so nchi ina madeni kama yote ambayo alienda mifukoni mwa wachache, na viongozi wengine wakawa vibaraka wa wa wazungu kusaidia kuiba Kenya. Hebu wakenya watujibu kwa nn kuna US and UK Military bases kwao zinafanya nn? kama siyo hawo wakoloni weusi walitaka ulinzi ili wasije kupatwa na hasira za wakenya walalahoi? Sina muda wa kuandika mengi ,may be later
Umemaliza yote kaka, haya unayosema ndiyo yaliyozungumzwa katika tume maarufu iliyoundwa huko Kenya ijulikanayo kama tume ya "Wako", ili kushughulikia dhuluma ya ardhi iliyifanywa na watawala weusi wa Kenya baada ya Uhuru.

Tume ilitoa mapendekezo kwa bunge la Kenya ili kurekebisha hiyo dhuluma, lakini kwasababu watawala wa Kenya ndio wahusika wakubwa wa dhuluma hiyo, hadi Leo bunge limeshitwa kutekeleza mapendekezo hayo, ambayo yalipendekeza ardhi igawanywe upya, ili wananchi masikini wapewe ardhi iliyochukulia na wakoloni na baadae kugawana na wanasiasa baada ya Uhuru wa Kenya.

Kenya not yet Uhuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya ni Capitalistic state tangia day 1, lkn kwa nini imeshindwa kuwaondoa hapo? Je, tatizo ni IQ au ni nini? BTW nchi zote ambazo zimekuwa zikifwata capitalistic economic system ziko mbali sana Kiuchumi, lkn Kenya bado wana matatizo yale yale yanayozisumbua (former) socislistic states, kama chakula, tiba, malazi, na hata vitu kama maji safi ya kunywa bado ni shida, sasa kwa nini Capitalism imeshindwa Kenya?
Uchumi wetu ni mara mbili yenu halafu unaropokwa bila aibu eti Capitalism imefeli Kenya. Akili za kuku hizi.
 
Something must be deadly wrong, kama nchi inajimwambafy kwa uchumi mkubwa lakini kila mwaka inapewa msaada wa basic necessities like staple food by a dozen of desert forsaken countries...

Hivi priorities za GoK ni zipi sasa, au uchumi mkubwa maana yake ni nini haswa? when Somalia, South Sudan and CAR are competing for food donations with the giant Kenya?

Nadhani kuna umuhimu wa New Year 2020 resolution ya GoK iwe ni kufanya self retrospection na kuwaambia waKenya wote ukweli ni wapi hio GDP kubwa hua inakwenda...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wetu ni mara mbili yenu halafu unaropokwa bila aibu eti Capitalism imefeli Kenya. Akili za kuku hizi.
Uchumi wenu ungeendana na hali halisi ningetegemea vitu vifuatavyo kuwa bora,
Unemployment rate ingepungua lakini cha kushangaza ndo kwanza serikali yenu imesitisha kuajiri,
Mngeacha kutegemea vyakula vya misaada karne hii kwa kujenga miradi mikubwa ya umwagiliaji,
Uchumi kufanya miradi mikubwa nchini kwenu lakini cha ajabu ata km 1 ya reli mmeshindwa hadi mkope (reli isiyoenda popote),
Hali mbaya ya maisha ya wananchi wa kenya ingekuwa nzuri kama kweli mna uchumi mkubwa ( hapa tunarudi kwenye unemployment rate)
Kenya ingekuwa na huduma nzuri za kijamii kwa wananchi wake (hapa tuzungumzie maji, hospitali)
Lakini mambo ni tofauti.
 
Uchumi wetu ni mara mbili yenu halafu unaropokwa bila aibu eti Capitalism imefeli Kenya. Akili za kuku hizi.
Nina wasiwasi na elimu yako au uwezo wako wakuelewa .Ukubali ukatae Kenya haijawa huru mpaka leo . Hebu toa fact usiongee tu kwa kuongea.Toa hoja kama msomi kweli halafu utueleze huo uchumi wenu. Nairobi wagtu wengi hutembea kwa miguu kwenda kazini zaidi ya km 10 ,ulishaona Dar mtu anaenda kazini kwa miguu hata mfagiaji wa ofisini hata wanaokwenda kusotea kazi za vibarua wanapanda daladala. Kingine kila mtu utamkuta uso umekunjamana kama vile ametoka kupigana ,hii huonyesha how unhappy people are with the current system in Kenya. Wake up man and dig deep inside your system
 
Uchumi wetu ni mara mbili yenu halafu unaropokwa bila aibu eti Capitalism imefeli Kenya. Akili za kuku hizi.

Vigumu sana kuwaelewesha hawa, GDP ya Nairobi pekee inakaribia kutoshana na Tanzania yote ambayo ni muungano wa nchi mbili.
Hawa huwa na kasoro kubwa sana, imagine nchi yote kubwa hivyo na madini na vivutio bora vya utalii na kila kitu lakini bado maskini kupita maelezo.
Tofauti yetu nao ya kiuchumi inazidi kuongezek.
 
Tulia utafute data za pengo la uchumi baina yetu na nyie, utashangaa leo tupo karibu mara mbili yenu, wakati miaka ya 80s tuliwadizidi kwa dollar $2b pekee yake.


Siyo kweli na wala Mada haihusu TZ vs Kenya, bali inahusu Kenya.
 
Wale kilichowasaidia ni kwamba wote kwa pamoja ni wachapa kazi, nchi kama Singapore ina majirani wachapa kazi wote, sasa sisi hapa tumezungukwa na wazembe hadi inatucost. Binadamu huendana kulingana na mazingira (lipo Kisayansi), ndio maana inashauriwa uhame Tandale bora ukaishi kwenye chumba cha vijakazi Masaki, ili uamke, lakini ukibaki Mbagalla, kutwa utakua unawaza kuwahi ukacheze bao na vigodoro.

Ukiangalia hii ramani, mataifa yenye uchumi bora, wote ni majirani halafu makajamba wa LDC wamekusanyika pamoja, Kenya tu ndio mpweke.
full_map-un-856d.jpg
Hao makajamba wa LDC si muwaexpliot mjiendeleze ninyi middle income country? Mnazungukwa na watu wajinga na mnashindwa kuwamanipulate ili mambo ya rule on your farvour? Ona sasa mnafanya uzembe mpaka Tanzania na Rwanda wanatak kuwapiku your superiority! Ethiopia walio wakame na wasio na bandari wanawapiku!! Inakuaje mnazidiwa na majirani wenu wajinga kama Tz na Ethiopia?
 
Tatizo walikaririshwa wimbo ambao ilipokezwa mpaka kwa vijana wao.
Mizembe sana hawa, liinchi lote hilo yaani hadi uunganishe Uganda, Rwanda na Kenya ndio zitoshane na Tanzania halafu ina rotuba kila sehemu, full madini lakini maskini wa kutupwa.
Hebu jibuni swali la mleta mada basi.... Naona ni kujizungusha mnajizungusha tu.
 
Kaka capitalism haijafanikiwa kabisa duniani, sio Kenya pekee tu, kwa ujumla Africa, South America, Asia na Caribbean note huko capitalism imeshindwa ukiacha nchi chahe kama South Korea na Singapore.

Nchi ambako zilifanikiwa ni zile nchi zilizowekwa katika" Marshall plan" baada ya vita kuu ya pili ya dunia. Kwa ufupi ubepari ni mfumo wa kinyama unaotengeneza matabaka, ni mfumo " unaotumia kanuni ya "Survival for the fittest", yaani kunyang'anya" kutoka kwa "weak" na kuwapa "the strongest".

Waingereza walivamia America, Canada na Australia na kuwapokonya ardhi wenyeji wa huko kwa nguvu, na kuja Afrika kuchukua watumwa kwa nguvu kwenda kuendeleza hizo nchi, hiyo ndio asilj ya kufanikiwa kwa " Capitalism " duniani.

Sasa nchi kama Kenya, ambayo haijengi uchumi wake kwa kutumia nguvu au watumwa, kamwe haiwezi kufanikiwa kwa kufuata mfumo wa capitalism. Nchi zinazotumia socialism kwa sasa zinafanya vizuri zaidi kuliko zile zibazotumia capitalism.

Sent using Jamii Forums mobile app
Europe ilikuwa already developed kabla ya world war 2. Kwa hivyo kazi ya Mashall plan haikuwa kufanya Europe iwe developed. Kwa sababu Nchi fulani zilikuwa zimeharibika kabisa baada ya vita kwa mfano Germany, Mashall plan ilikuwa ya kuiwezesha Germany kujenga industries zake zilizoharibiwa ili kurudi katika hali yake ya awali
 
Uchumi wetu ni mara mbili yenu halafu unaropokwa bila aibu eti Capitalism imefeli Kenya. Akili za kuku hizi.
Tunazungumzia wananchi wa kawaida kufaidi uchumi wao, Mau mau walipigana ili kuhakikisha kwamba ardhi waliyopokonywa inarudi mikononi mwa wananchi, baada ya Uhuru mkasema Mau Mau ni kundi la wahuni na wakora kwasababu tu hawakuridhishwa na watawala wenu weusi kuichukua na kujimilikisha ardhi iliyokuwa mikononi mwa wazungu, lengo la Mau Mau lilikua ni kuhakikisha wananchi wa kawaida wanarudishiwa ardhi yao.

Kenya not yet Uhuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jibuni swali la mleta mada basi.... Naona ni kujizungusha mnajizungusha tu.

Mbona alishajbiwa, humu sio lazima ujibiwe unavyotaka maana watu tuna uhuru wa kushirikisha ubongo tunapotoa majibu, jibu lenyewe ni kwamba Kenya imefaulu kuongoza kiuchumi, kijeshi, kielimu n.k. licha ya kuwa kainchi kadogo ambako zaidi ya nusu yake ni kame tupu na hamna madini.
Nyie hapo nchi kubwa muungano wa mataifa mawili yenye rotuba kila sehemu na madini kote kote na vivutio bora vya utalii kuzidi mataifa yote ya Afrika lakini maskini balaa, Kenya inaelekea kuwa tajiri mara mbili yenu, hauoni kuna kasoro sehemu.
 
Back
Top Bottom