CCM ya zamani ilikuwa inafuata yale waliyoandika ili yawaongoze katika utumishi wao ndani ya Chama na Serikali.
CCM ya zamani ilikuwa inaongozwa na Imani za Mwanachama. Hakuna mwanachama ambaye hakujua Imani ya Chama chake. Watu waliziimba, wakazielewa, wakazitumikia.
CCM ya zamani ilikuwa na Kanuni zilizotumika. Baadhi ya Kanuni ziliongelea, usawa, haki, uadilifu, kusema kweli na kuacha fitina.
CCM ya zamani ilikuwa imejiwekea miongozo ambayo kila mmoja alitakiwa kuifuta na kuiishi.
CCM ya zamani iliamini katika kujikosoa ili kujisahihisha. Leo ukikosoa unaitwa mpinzani, unaitwa msaliti.
Kwa maneno mafupi kabisa CCM ya zamani inapingana mno na CCM ya leo.
CCM ya leo imejaa wafitini, wapiga majungu, wanafiki, wanaopokea na kutoa rushwa ndio maana hata Uchaguzi wao ulijidhihurisha wazii
Mimi najiuliza kwa nini wasibadili miongozo yao ili iendane na mazingira ya matakwa ya sasa ya Chama hicho?