Kwa nini dunia inashindwa kugawana raia wa Gaza kuwakoa na maafa yanoendelea huko?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Gaza ambako kuna maafa makubwa ya kibinadmu yanaoendelea ni sawa na nusu ya Wilaya moja tu ya Tanzania. Gaza ina raia milioni 2, yakijitolea mataifa kumi ya Kiarabu kila moja kuchukua raia laki mbili inaa maana raia wote wa Gaza watakuwa na sehemu za kuishi na kuondokana na maafa yanaondelea, jambo la ajabu ni kwamba Misri ndio kwanza wanaimarisha ukuta wa mpakani mwa Gaza zaidi!
20250726_171757.png

Mpaka wa Misri na Gaza una vizuizi saba vya chuma na waya za senyenge.
20250728_223439.jpg
20250728_223522.jpg
 
Gaza ambako kuna maafa makubwa ya kibinadmu yanaoendelea ni sawa na nusu ya Wilaya moja tu ya Tanzania. Gaza ina raia milioni 2, yakijitolea mataifa kumi ya Kiarabu kila moja kuchukua raia laki mbili inaa maana raia wote wa Gaza watakuwa na sehemu za kuishi na kuondokana na maafa yanaondelea, jambo la ajabu ni kwamba Misri ndio kwanza wanaimarisha ukuta wa mpakani mwa Gaza zaidi!
View attachment 3422328

Mpaka wa Misri na Gaza una vizuizi saba vya chuma na waya za senyenge.
View attachment 3422334View attachment 3422335
Taifa litakalofanya hivyo limeshiriki uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa kuwa pora wa palestina haki yao ya Utaifa na Taifa lao.Na kuungana na Mtesi wa Mpalestina!
 
Gaza ambako kuna maafa makubwa ya kibinadmu yanaoendelea ni sawa na nusu ya Wilaya moja tu ya Tanzania. Gaza ina raia milioni 2, yakijitolea mataifa kumi ya Kiarabu kila moja kuchukua raia laki mbili inaa maana raia wote wa Gaza watakuwa na sehemu za kuishi na kuondokana na maafa yanaondelea, jambo la ajabu ni kwamba Misri ndio kwanza wanaimarisha ukuta wa mpakani mwa Gaza zaidi!
View attachment 3422328

Mpaka wa Misri na Gaza una vizuizi saba vya chuma na waya za senyenge.
View attachment 3422334View attachment 3422335
Unaweza ukafuga shetani nyumbani kwako?
 
Palestine ni taifa na sio nchi. Utaifa wao unabeba lugha, desturi, na utamaduni. Ukiwaondoa hapo maana yake unafuta mila, tamaduni na desturi ya watu zaidi ya milioni 2. Wanaopatikana gaza pekeake. Mbali na wale walioko west bank.Tamaduni ambayo imekuwepo hapo kwa zaidi ya miaka 3000.
Kwa hali ya kawaida hili jambo sio zuri. Two state solution ndio jibu la madhila na mateso makali wanayopitia wapalestina.

Undumilakuwili wa Marekani na baadhi ya nchi za ulaya haswa ujerumani uingereza na ufaransa kuendelea kuiunga mkono israel kwa ushetani wanaowafanyia wapalestina.
 
Gaza wagawanwe? Hiyo ndio dhamira ya Israel ili wakiondoka tu ile inakuwa ardhi ya Israel na hakutakuwa na mtu wa kuwatoa
 
Hawataki kukaribisha mabalaa kwenye nchi zao.Ukiwakaribisha hao watu ni lazima wataanza kutoa madai ambayo hata wenyeji watashindwa kuwavumilia.Mfano mzuri ni waarabu wanaopewa hifadhi kwenye nchi za Ulaya na Marekani jinsi wanavyokuwa mwiba mkali kwa serikali na wenyeji wao.
 
Back
Top Bottom