Taifa litakalofanya hivyo limeshiriki uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa kuwa pora wa palestina haki yao ya Utaifa na Taifa lao.Na kuungana na Mtesi wa Mpalestina!Gaza ambako kuna maafa makubwa ya kibinadmu yanaoendelea ni sawa na nusu ya Wilaya moja tu ya Tanzania. Gaza ina raia milioni 2, yakijitolea mataifa kumi ya Kiarabu kila moja kuchukua raia laki mbili inaa maana raia wote wa Gaza watakuwa na sehemu za kuishi na kuondokana na maafa yanaondelea, jambo la ajabu ni kwamba Misri ndio kwanza wanaimarisha ukuta wa mpakani mwa Gaza zaidi!
View attachment 3422328
Mpaka wa Misri na Gaza una vizuizi saba vya chuma na waya za senyenge.
View attachment 3422334View attachment 3422335
F*ck haki ya utaifa, kuishi ni muhimu zaidi unapopambana na mtu ambaye hutaweza kumshinda kwa namna yoyote ile.Taifa litakalofanya hivyo limeshiriki uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa kuwa pora wa palestina haki yao ya Utaifa na Taifa lao.Na kuungana na Mtesi wa Mpalestina!
Hata Myahudi asingemuweza Mpalestina na usaidizi wa washirika wake,kama sii unaa wa Marekani na wapuuzi wa Ulaya.F*ck haki ya utaifa, kuishi ni muhimu zaidi unapopambana na mtu ambaye hutaweza kumshinda kwa namna yoyote ile.
Wapalestina wanasaidiwa na Iran, Russia, North Korea, na magaidi wengine wengi tu lakini wamemshindwa myahudiHata Myahudi asingemuweza Mpalestina na usaidizi wa washirika wake,kama sii unaa wa Marekani na wapuuzi wa Ulaya.
Wanasaidiwa kutoka wapi ikiwa wamefungiwa kila mahalaWapalestina wanasaidiwa na Iran, Russia, North Korea, na magaidi wengine wengi tu lakini wamemshindwa myahudi
Waingereza walaumiwe kwa huu ujingaMakobaz yapigwee... Hakuna hurumaa
Unaweza ukafuga shetani nyumbani kwako?Gaza ambako kuna maafa makubwa ya kibinadmu yanaoendelea ni sawa na nusu ya Wilaya moja tu ya Tanzania. Gaza ina raia milioni 2, yakijitolea mataifa kumi ya Kiarabu kila moja kuchukua raia laki mbili inaa maana raia wote wa Gaza watakuwa na sehemu za kuishi na kuondokana na maafa yanaondelea, jambo la ajabu ni kwamba Misri ndio kwanza wanaimarisha ukuta wa mpakani mwa Gaza zaidi!
View attachment 3422328
Mpaka wa Misri na Gaza una vizuizi saba vya chuma na waya za senyenge.
View attachment 3422334View attachment 3422335