Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Apr 14, 2023 #1 Walisema wanataka kuiuza Klab, lakini kila akitokea mnunuzi wanaanza kumzungusha, tatizo nini??
Bachelor ll JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 4,106 Reaction score 6,678 Apr 14, 2023 #2 Kwann wauze mali yao na urithi wa ukoo
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,504 Reaction score 35,520 Apr 14, 2023 #3 Haikuwa na wala sio mpango wao ni msukumo tu kutoka kwa wadau kisa timu ilikuwa na matokeo mabovu na ukizingatia kama mizigo walikuwa wanatoa
Haikuwa na wala sio mpango wao ni msukumo tu kutoka kwa wadau kisa timu ilikuwa na matokeo mabovu na ukizingatia kama mizigo walikuwa wanatoa
Dish JF-Expert Member Joined Jun 3, 2019 Posts 624 Reaction score 922 Apr 14, 2023 #4 Allen Kilewella said: Walisema wanataka kuiuza Klab, lakini kila akitokea mnunuzi wanaanza kumzungusha, tatizo nini?? Click to expand... Next time kamfollow Fabrizio Romano
Allen Kilewella said: Walisema wanataka kuiuza Klab, lakini kila akitokea mnunuzi wanaanza kumzungusha, tatizo nini?? Click to expand... Next time kamfollow Fabrizio Romano
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 24,386 Reaction score 57,588 Apr 14, 2023 #5 Sio nia yao kuiuuza.Wakiona kuna kelele wanatangaza kuiuza ili kubuy time.Pakitulia mwendo ni ule ule hawaiuzi.
Sio nia yao kuiuuza.Wakiona kuna kelele wanatangaza kuiuza ili kubuy time.Pakitulia mwendo ni ule ule hawaiuzi.