Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 727
maelezo yako mazuri sana mkuu.Ninamiliki Honda Fit Aria kwa muda wa mwaka mmoja sasa!
Naweza tu kusema ni mojawapo ya magari smooth sana!..
Bei cheap ndio kitu gani?Ninamiliki Honda Fit Aria kwa muda wa mwaka mmoja sasa!
Naweza tu kusema ni mojawapo ya magari smooth sana! Ni tamu kuendesha kwa kweli! Na niliinunua kwa "bei cheap" kidogo kulinganisha na magari ya hadhi yake ya Toyota. Sijaona tatizo hata moja kwa kipindi cha mwaka mzima tofauti Na service za kawaida za gari. Kwakweli sijilaumu kumiliki hii gari!
Kama unafikiria kununua, karibu kwenye ulimwengu wa Honda!
Cheap yako inaweza kuwa expensive kwangu bora useme nilinunua tsh mil 4 kulinganisha na ist labda inauzwtsh mil 10Ninamiliki Honda Fit Aria kwa muda wa mwaka mmoja sasa!
Naweza tu kusema ni mojawapo ya magari smooth sana! Ni tamu kuendesha kwa kweli! Na niliinunua kwa "bei cheap" kidogo kulinganisha na magari ya hadhi yake ya Toyota. Sijaona tatizo hata moja kwa kipindi cha mwaka mzima tofauti Na service za kawaida za gari. Kwakweli sijilaumu kumiliki hii gari!
Kama unafikiria kununua, karibu kwenye ulimwengu wa Honda!
Mkuu nyingi zimefungwa engen za pikipikiTunaomba wanaozijua hizi gari watuambie kwa nini bei yake iko chini sana?
je ni mbovu au hazina spea hapa Tz
Kama hazina shida bora tuhamie Honda maana hali ya uchumi inatisha kwa sasa.
Nimeelezea kama alivyotumia mtoa mada... Bei cheap kwa gari la kuagiza kuwa less than 9m nadhani ni cheap!Bei cheap ndio kitu gani?
Sawa mkuu! Lkn Mimi nilijibu kama mleta mada alivyotaka! Relatively ziko cheaper kulinganisha na Toyota! IST kwa mfano haipungi milioni 12 lkn gari niliyotolea mfano hadi inafka mkononi kwangu nilitumia milioni 9, ikiwa na millage ya 55000kmCheap yako inaweza kuwa expensive kwangu bora useme nilinunua tsh mil 4 kulinganisha na ist labda inauzwtsh mil 10
Lkn ni imara pia! Kama Nissan tu!Honda spea zake ni ghali
Ha aha ahaaa.. Daah!! Ngoja tukomae na hizi pikipiki zetu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu nyingi zimefungwa engen za pikipiki
Ndo inavyokuwa..utakuta aina ya gari bei yake ni cheap sasa kaulizie spea zake uone kizaazaa..hiyo ni trick za watengenezaji kwenye ushindani wa kushika sokoLkn ni imara pia! Kama Nissan tu!