Kwa nini gari za Honda ni cheap sana?

Kwa nini gari za Honda ni cheap sana?

Mr Equalizer

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Posts
611
Reaction score
727
Tunaomba wanaozijua hizi gari watuambie kwa nini bei yake iko chini sana?

Je, ni mbovu au hazina spea hapa Tz

Kama hazina shida bora tuhamie Honda maana hali ya uchumi inatisha kwa sasa.
 
Eleza ueleweke, model ipi ya honda ni nafuu ukilinganisha na ipi. Hebu ulizia honda crossroad then utuambie ni nafuu ukilinganisha na gari gani kutoka kampuni ipi.
 
Ninamiliki Honda Fit Aria kwa muda wa mwaka mmoja sasa!

Naweza tu kusema ni mojawapo ya magari smooth sana! Ni tamu kuendesha kwa kweli! Na niliinunua kwa "bei cheap" kidogo kulinganisha na magari ya hadhi yake ya Toyota.

Sijaona tatizo hata moja kwa kipindi cha mwaka mzima tofauti Na service za kawaida za gari. Kwakweli sijilaumu kumiliki hii gari!

Kama unafikiria kununua, karibu kwenye ulimwengu wa Honda!
 
Ninamiliki Honda Fit Aria kwa muda wa mwaka mmoja sasa!
Naweza tu kusema ni mojawapo ya magari smooth sana! Ni tamu kuendesha kwa kweli! Na niliinunua kwa "bei cheap" kidogo kulinganisha na magari ya hadhi yake ya Toyota. Sijaona tatizo hata moja kwa kipindi cha mwaka mzima tofauti Na service za kawaida za gari. Kwakweli sijilaumu kumiliki hii gari!
Kama unafikiria kununua, karibu kwenye ulimwengu wa Honda!
Bei cheap ndio kitu gani?
 
Kwa bei za chini kbs leo Beforward kwa IST vs Honda Fit vs Mazda Demio zote za 2005.
1. Toyota IST ni $2206, ushuru wake ni sh 4.6mil
2. Honda Fit ni $1456, ushuru ni 4.1mil
3. Mazda Demio ni $1589, ushuru ni 3.5mil

Sasa mkiambiwa brands (tofauti na Toyota [kwa TZ]) nyingine huwa 'cheap', maana yake ndio hii.
 
Ninamiliki Honda Fit Aria kwa muda wa mwaka mmoja sasa!
Naweza tu kusema ni mojawapo ya magari smooth sana! Ni tamu kuendesha kwa kweli! Na niliinunua kwa "bei cheap" kidogo kulinganisha na magari ya hadhi yake ya Toyota. Sijaona tatizo hata moja kwa kipindi cha mwaka mzima tofauti Na service za kawaida za gari. Kwakweli sijilaumu kumiliki hii gari!
Kama unafikiria kununua, karibu kwenye ulimwengu wa Honda!
Cheap yako inaweza kuwa expensive kwangu bora useme nilinunua tsh mil 4 kulinganisha na ist labda inauzwtsh mil 10
 
Tunaomba wanaozijua hizi gari watuambie kwa nini bei yake iko chini sana?

je ni mbovu au hazina spea hapa Tz

Kama hazina shida bora tuhamie Honda maana hali ya uchumi inatisha kwa sasa.
Mkuu nyingi zimefungwa engen za pikipiki
 
Cheap yako inaweza kuwa expensive kwangu bora useme nilinunua tsh mil 4 kulinganisha na ist labda inauzwtsh mil 10
Sawa mkuu! Lkn Mimi nilijibu kama mleta mada alivyotaka! Relatively ziko cheaper kulinganisha na Toyota! IST kwa mfano haipungi milioni 12 lkn gari niliyotolea mfano hadi inafka mkononi kwangu nilitumia milioni 9, ikiwa na millage ya 55000km
 
Kampuni ya Honda wapo vizuri..sasa hivi hata private jet wanatengeneza
 
Back
Top Bottom