Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Tangu nimeanza kumsikia Godfrey Tumaini na kelele zake za ushoga hapa nchini sijawahi kumsikia akitaja au akipambana na shoga yeyote mwanamke.
Sijui ni kwa bahati mbaya au kwa sababu anajua mashoga wa kike hawawezi kumpa kiki mjini au hakuna mashoga kike Tanzania?
Kama amesahau ni vyema akakumbushwa harakati zake za ushoga ziwe pana mpaka kwa watoto wa kike dhidi ya usagaji.