Kwa nini H.O.D anaitwa KIFESI

Kwa nini H.O.D anaitwa KIFESI

Leo napenda nitoe utata wa jina ninalotumia ambalo watu wameligeuza mada.hapa nazungumza na watu timamu na waelewa watu ambao wna nia ya kufaham na kuelewahii haiwahusu watu wa kuponda kila.

Kwanza mimi ni msukuma na jina langu kamili ni, Andrew Kisula. Kisula ni jina la baba angu,zingatia ni KISULA siyo KISURA,kwa waelewa wa lugha wanafaham utofauti wake KISURA ni ile inahusu urembo ,na KISULA ni jina la kisukuma(wasukuma wanaelewa).

Kwa nini naitwa (kifesi) nilipoanza kufanya kaz na boss wangu,wengi walikuwa hawaniiti kwa Jina langu la kwanza walipenda kuniita la bab yangu, KISULA sababu liklikuwa tofaut,badae boss wangu na Moze iyobo ,wakawa wanaiita kitani,KIFESI kuanzia hapo jina likazoeleka,na kila mtu akawa ananiita hivyo,boss wangu akiwa anaiitambulisha kwa watu atasema huyu anafanya kaz flani anaitwa kifesi..so nimelizoea na kila mtu ananifaham kwa jina ama nickname hiyo na mm sikuona ubaya wa kulitumia kama utambulisho kwenye mitandao ya kijamiii kulahisisha mawasiliano na watu wnaohitaji kaz zangu mana wengi wnanifahm kwa hilo.

Bila shaka nimejieleza vizuri na waelewa wamenielewa.
Ahsanteni

jombaa hili ni jukwaa la macelebrities na wewe ni mmoja wao?
 
Kisura haifanani hata kidogo na kisula

Umechemsha kisula

Kwa kuwa ni boss wako akuite majina ya ajabu na wewe unakubali tu haipendezi

Sawa kisura

Nakutakia kutafuta umaarufu kwema
 
Leo napenda nitoe utata wa jina ninalotumia ambalo watu wameligeuza mada.hapa nazungumza na watu timamu na waelewa watu ambao wna nia ya kufaham na kuelewahii haiwahusu watu wa kuponda kila.

Kwanza mimi ni msukuma na jina langu kamili ni, Andrew Kisula. Kisula ni jina la baba angu,zingatia ni KISULA siyo KISURA,kwa waelewa wa lugha wanafaham utofauti wake KISURA ni ile inahusu urembo ,na KISULA ni jina la kisukuma(wasukuma wanaelewa).

Kwa nini naitwa (kifesi) nilipoanza kufanya kaz na boss wangu,wengi walikuwa hawaniiti kwa Jina langu la kwanza walipenda kuniita la bab yangu, KISULA sababu liklikuwa tofaut,badae boss wangu na Moze iyobo ,wakawa wanaiita kitani,KIFESI kuanzia hapo jina likazoeleka,na kila mtu akawa ananiita hivyo,boss wangu akiwa anaiitambulisha kwa watu atasema huyu anafanya kaz flani anaitwa kifesi..so nimelizoea na kila mtu ananifaham kwa jina ama nickname hiyo na mm sikuona ubaya wa kulitumia kama utambulisho kwenye mitandao ya kijamiii kulahisisha mawasiliano na watu wnaohitaji kaz zangu mana wengi wnanifahm kwa hilo.

Bila shaka nimejieleza vizuri na waelewa wamenielewa.
Ahsanteni

Heheeeeee......hamna kitu hapa, unajaribu kujastify kwamba wewe sio ze bwabwaa... Hatudanganyiki, kifenesi...sorry kifesi
 
Back
Top Bottom